Friday, September 21, 2018

Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa
Usajili wa Kimataifa

SAFARI YA FABIO BORINI KUTUA SUNDERLAND YAIVA, PAKA WEUSI WAKUBALI KULIPA PAUNDI MILIONI 14

Anaondoka? Mshambuliaji wa Liverpool, Fabio Borini alifanya mazungumzo na Sunderland juu ya uwezekano wa kuhamia Kaskazini mashariki. DILI la Fabio Borini kujiunga na Sunderland linaweza...

MKURUGENZI AC MILAN ASEMA KWA ASILIMIA 99.9% MARIO BALOTELLI HANG’OI MGUU!

Ana furaha katika rangi nyekundu na nyeusi: Mario Balotelli anaonekana kama vile ataondoka katika klabu ya  AC Milan majira haya ya kiangazi. DHAMIRA ya Arsenal...

REINA ATHIBITISHA KUPENDA KUENDELEA KUICHEZEA LIVERPOOL

MLINDA mlango wa Liverpool, Pepe Reina amejitia kitanzi mwenyewe katika klabu hiyo, licha ya kudai anapenda kustaafu soka la kimataifa nchini Hispania.  Akicheza kwa mkopo...

RASMI: DIDIER DROGBA ASAINI MWAKA MMOJA CHELSEA NA KUUNGANA NA MOURINHO TENA!

Didier Drogba amekamilisha ndoto za kurejea Chelsea. Nyota huyo wa Ivory Coast amesaini mkataba wa mwaka mmoja Stamford Bridge. Gwiji huyu alisainiwa kwa mara ya kwanza...

MOURINHO ATHIBITISHA DROGBA KUREJEA CHELSEA

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amethibitisha kuwa mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Didier Drogba anarudi darajani. Nyota huyo raia Ivory Coast  aliitumikia Chelsea kwa...

NAHODHA WA `BLACK STARS` ASAMOAH GYAN AJITIA KITANZI KINGINE AL AIN

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Ghana, ‘Black Stars’, Asamoah Gyan ameongeza  mkataba na klabu yake ya Al Ain mpaka mwaka 2018, klabu imetangaza...

TETESI ZA USAJILI: “HAKUNA KILICHOFANYIKA'” NA DI MARIA-BLANC

LAURENT Blanc amegoma kuweka wazi kama Paris Saint-Germain imefanya mazungumzo juu ya kumsajili nyota wa Real Madrid, Angel Di Maria. Di Maria alikuwa mchezaji muhimu...

RASMI: FRANK JAMES LAMPARD ATAMBULISHWA NA NEW YORK CITY

MAISHA ya Frank James Lampard katika klabu ya Chelsea rasmi yamefika tamati baada ya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na New York City inayoshiriki ligi...

RASMI: LUCAS PIAZON AJIUNGA NA EINTRACHT FRANKFURT KWA MKOPO

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon amejiunga na  Eintracht Frankfurt kwa mkopo wa muda mrefu. Mbrazil huyo alijiunga Stamford Bridge kutokea Sao Paulo mwaka 2008 , lakini ameshindwa...

DILI LIMEKAMILIKA: JAMES RODIRIGUEZ AMEJIUNGA NA REAL MADRID

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Colombia, James Rodriguez amekamilisha uhamisho kujiunga na miamba ya soka nchini Hispania, Real Madrid. Mfungaji huyo bora wa kombe la dunia...

STORY KUBWA