Tuesday, September 25, 2018

Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa
Usajili wa Kimataifa

MATEO MUSACCHIO AKARIBIA KUJIUNGA TOTTENHAM

Kwenye rada: Tottenham wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili  Mateo Musacchio. WATUKUTU wa London, Tottenham wanaendelea na mazungumzo na klabu ya Villarreal ili wamsajili beki Mateo Musacchio...

BRENDAN RODGERS AKANUSHA KUMSAJILI MTUKUTU MARIO BALOTELLI

Tuli tuli! Jordan Ibe akivuta bukuta ya  Balotelli katika ushindi wa Liverpool wa mabao 2-0 dhidi ya AC Milan. KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers amekanusha...

MAN CITY YATHIBITISHA FRANK JAMES LAMPARD KUANZA JALAMBA JUMATANO

Aliaga kwa machozi: Tunu ya Chelsea , Frank Lampard atajiunga na Manchester City kwa mkopo. MANUEL Pellegrini amethibitisha kuwa Frank Lampard jumatano ijayo ataanza mazoezi...

SOUTHAMPTON WATENGA PAUNDI MILIONI 70 KUNASA ‘MAJEMBE’ MAPYA, CHICHARITO, ZAHA WATUA KWENYE RADA ZAO!

Anawindwa: Javier Hernandez (kushoto) yupo katika rada za Southampton ambao wamepanga kutumia paundi milioni 70 majira haya ya kiangazi. Southampton  wanapanga kutumia paundi milioni 70...

ANCELOTTI: LAMPARD ATAKUWA USAJILI MKUBWA KWA MANCHESTER CITY

BOSI wa Real Madrid, Carlo Ancelotti anaamini Manchester City itakuwa imelamba dume kama itamsajili kiungo mkongwe Frank Lampard ambaye yuko mbioni kujiunga Etihad kwa...

KIPA WA AJABU WA MEXICO ATUA MALAGA

MALAGA imetangaza kumsajili kipa Guillermo Ochoa ili arithi mikoba ya Willy Caballero. Kipa huyo mwenye miaka 29, raia wa Mexico,  alikuwa mchezaji huru baada ya...

DIEGO LOPEZ TAYARI KUTIMKA REAL MADRID

DIEGO Lopez yupo tayari kuondoka Real Madrid majira haya ya kiangazi kwasababu ya kukosa namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza. Kipa huyo mwenye miaka...

RASMI: LUKAKU ATUA EVERTON KWA PAUNDI MILIONI 28

Kocha Roberto Martinez wa Everton amekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku aliyeichezea klabu hiyo  kwa mkopo msimu uliopita. Dili hilo limeigharimu...

TETESI ZA USAJILI ULAYA: BAYERN YAKANUSHA KUTAKA KUMSAJILI SAMI KHEDIRA

Bayern Munich  imekanusha taarifa za kutaka kumsajili nyota wa Real Madrid, Sami Khedira. Kiungo huyo amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake  na vyombo vya habari...

MSHAMBULIAJI WA CHELSEA ROMELU LUKAKU ATUA EVERTON KWA DAU LA PAUNDI MILIONI 24

Nyota anayewindwa: Msimu uliopita, Lukaku alifunga mabao 15 akiwa na klabu ya Everton ambayo inakaribia kumsajili kwa mkataba wa kudumu. Romelu Lukaku atakamilisha uhamisho wa...

STORY KUBWA