Saturday, September 22, 2018

Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa
Usajili wa Kimataifa

Manchester United yakubali kumsajili Memphis Depay kutoka PSV Eindhoven

Manchester United imekubaliana kimsingi na klabu ya PSV Eindhoven kumsajili mshambuliaji raia wa Uholanzi Memphis Depay. Depay mwenye umri wa miaka 21, alikuwa sehemu...

BALE AMSOGELEA RONALDO KWA MSHAHARA MADRID

Gazeti la Marca limeripoti kwamba, Gareth Bale amesaini mkataba wa miaka mitano kuendelea kuitumikia Real Madrid, hiyo inamaanisha Bale anamkataba na Madrid hadi mwaka...

OFFICIAL- DAVID LUIZ ARUDISHA MAJESHI CHELSEA

Chelsea wamekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Brazil David Luiz kutoka Paris Saint-Germain kwa ada ya paundi mil 38 (euro mil 45). Luiz (29)...

MAAMUZI YA VARDY YAIMALIZA ARSENAL

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya England na klabu ya Leicester City Jamie Vardy amesaini mkataba wa miaka minn wa kuendelea kuitumikia klabu yake. Vardy...

Tetesi za January : Chris Smalling yupo kwenye target ya Arsenal.

Kwenye habari ambayo ambayo watu wengi wanaweza kuona kama ni kitu ambacho inawezekana isitokee, lakini tetesi za kutoka za usajili ni kwamba Arsenal wanaweza...

Mfanyakazi wa Arsenal ajiuzulu ili mshahara wake utumike kwenye usajili wa Wenger

​Mfanyakazi mmoja wa Arsenal ameamua kuacha kazi katika klabu hiyo, akimtupia maneno Arsene Wenger juu ya kushindwa kufanya manunuzi ya wachezaji katika barua yake...

MAMBO YANAKARIBIA KUKAMILIKA…BAADA YA DAU LA 50MIL, STERLING AKATISHA HOLIDAY AKODI NDEGE KURUDI UINGEREZA

Mchezaji Raheem Sterling wa Liverpool, amekatisha ziara yake ya mapumziko ‘bata’ huko Ibiza na kukodi ndege binafsi kurudi nyumbani Uingereza haraka huku Manchester City...

DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA LEO BARANI ULAYA!

Alessio Cerci amejiunga na Atletico Madrid akitokea Torino ya Italia,Cerci ndiye mchezaji pekee aliyefunga na kutoa pasi zaidi ya kumi kwenye msimu uliopita wa...

Rui Faria ameondoka na furaha ya Mourinho, na leo Madrid wanaweza kuharibu kabisaa

Usiku wa kuamkia Jumatano(usiku wa leo) klabu ya Manchester United watakuwa uwanjani kuwakabili Real Madrid katika mchezo katika muendelezo wa michuano ya ICC. Mchezo huu...

STORY KUBWA