Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa Page 3
Usajili wa Kimataifa

Usiyoyajua kuhusu ‘mnyama’ Pierre-Emerick Aubameyang

Haya ni baadhi ya mambo ambayo huenda huyajui kuhusu Pierre-Emerick Aubameyang, katika maisha mtoto hufuata matarajio ya wazazi na wazazi husaidia kwa kila hali...

Dau jipya la Sterling sasa kumpiku Paul Pogba

Dili jipya la usajili la pauni 300,000 (laki tatu) kwa wiki litamfanya Raheem Sterling kuwa ndie 'play maker' anaelipwa zaidi kwenye Ligi Kuu nchini...

Ramsey kutua Juventus, Pogba apata majeraha.

Juventus yamtengea Aaron Ramsey mshahara mnono wa Tsh Bilion 21.1.Takwimu za Ramsey Arsenal🎽Mechi 389✅Magoli 65🎯Assists 66📝Wachezaji waliosajiliwa bure na Juventus✅ 2009: Fabio Cannavaro✅ 2011:...

Chelsea yamnyatia mfungaji bora EPL

Chelsea kwa kipindi kirefu imekuwa na changamoto ya fowadi wa mwisho tokea Didier Drogba aondoke klabuni hapo. Washambuliaji wengi waliokuja Chelsea aidha walishuka viwango...

EXCLUSIVE: Ambokile atua Sauz kusaini Black Leopards 

Mshambuliaji wa Mbeya City Eliud Ambokile ameondoka leo kwenda South Afrika kufanya mazungumzo ya kujiunga na Black Leopards inayoshiriki ligi kuu (PSL). Awali Ambokile alienda...

Kiiza karejea kwenye timu yake ya zamani baada ya ‘kutemana’ na Free State Stars

Mshambuliaji wa zamani wa Simba Hamis Kiiza ‘Diedo’ amejiunga na klabu yake ya zamani ya URA aliyoichezea miaka mitano iliyopita. Pande hizo mbili zimekubaliana kusaini...

Dauda vs Geoff Lea & Maeda kuhusu Barca kumsajili Boateng

Baada ya Barcelona kumsajili Kevin Prince Boateng raia wa Ghana, mijadala imekuwa mingi sana kila mmoja akiwa na mtazamo wake binafsi. Swali kubwa linaloulizwa ni...

Okwi amesajiliwa na klabu ya Uganda

Baada ya kuvunja mkataba na klabu ya SønderjyskE ya nchini Denmark, mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Arnold Okwi amejiunga na SC Villa. Okwi amejiunga...

Barcelona inakwama wapi?

Ukitazama jezi ya Barcelona kwenye sehemu ya 'beji' ya klabu kuna maneno ya kihispania ambayo tafsiri yake ina maana ya maneno haya 'ZAIDI YA...

BAADA YA USAJILI MPYA….KIKOSI CHA CHELSEA KINAWEZA KUWA HIVI

Mourinho aliwai kusema kwamba yeye kwa msimu huu hatasajili kwa fujo anaamini kikosi chake kipo vizuri lakini mambo yanaonekana kuwa sio mambo kwake baada...

MBWANA SAMATTA ATUA UBELGIJI KUKAMILISHA USAJILI

Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinasema kwamba, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR Mbwana Samatta muda...

Official: Okwi avunja mkataba na Sonderjyske Fodbold, Kurejea Msimbazi?

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda,  Emmanuel Okwi ameachana rasmi na klabu ya  Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa makubaliano ya pande zote kuamua kusitisha mkataba.  Kwa...

Ulimwengu amepata dili Ulaya

9 Na Zainabu Rajabu, Dar MSHAMBULIAJI wa Tanzania  Thomas Ulimwengu  amesajiliwa na  timu inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden inaitwa Athletic Football Club Eskilstuna kwa mkataba miaka...

DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA LEO BARANI ULAYA!

Alessio Cerci amejiunga na Atletico Madrid akitokea Torino ya Italia,Cerci ndiye mchezaji pekee aliyefunga na kutoa pasi zaidi ya kumi kwenye msimu uliopita wa...

Video: Samatta alivyozipokea taarifa za kuondoka kwa Ndidi

Baada ya kiungo wa KRC Genk Wilfred Ndidi kujiunga na klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya England, Mbwana Samatta ambaye walikuwa wanacheza...

PICHA 8 NA VIDEO JINSI ROBERTO FIRMINO ALIVYOFIKA LIVERPOOL KWA MARA YA KWANZA

Mchezaji wa Liverpool ambae alisajili wakati mashindano ya Copa America yanaendelea amewasili rasmi kwenye ofisi za Liverpool na kulakiwa na mashabiki wengi wakitaka saini...

MAMBO 5 YANAYOTARAJIWA MANCHESTER CITY CHINI YA UTAWALA WA GUARDIOLA 

Uhamisho wa Guardiola kuelekea Manchester City ilikuwa ni moja kati ya siri kubwa huku akihusishwa kujiunga Manchester united lakini sasa imekuwa wazi kuwa atajiunga Manchester City...

TOP 5 YA WACHEZAJI WALIOKAMILISHA USAJILI WAO EPL

Vikumbo vya usajili katika kipindi hiki cha dirisha dogo barani Ulaya vimeendelea wakati kila klabu ikitaka kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya kuhakikisha inapata...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow