Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa Page 3
Usajili wa Kimataifa

Javi Ribalta: Usajili muhimu waliofanya Man United kuliko wa Pogba 

Wakati wa dirisha la usajili lilopita, Juventus walifanya biashara kuhwa zaidi ya mauzo ya mchezaji katika historia ya soka na bado wakaenda kushinda taji...

Fabinho: Ofa ya Man Utd itanishawishi sana

Inaonekana wachezaji wa kibrazil wamekuwa wepesi kuzungumzia matamanio yao ya kujiunga na Manchester United hadharani katika siku za hivi karibuni.  Wiki iliyopita alikuwa Anderson Talisca,...

Kwanini Ronaldo anataka kuondoka Madrid, tetesi za Man United haziepukiki

Wiki hii picha ya Cristiano Ronaldo iliyotumika saba kwenye kurasa mbalimbali za vyombo vya habari ni ile inayomuonyesha akiwa kwenye jezi ya timu ya...

Simba imekamata mwingine toka Mtibwa

Na Zainabu Rajabu. Kiungo kiraka wa Mtibwa Sugar Ally Shomari amemalizana na uingozi wa Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Muda wowote...

Wachezaji ghali zaidi wa kihispaniola – Morata kuandika rekodi mpya ya usajili

Kuelekea kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United akitokea Real Madrid, Alvaro Morata ataingia kwenye vitabu vya rekodi vya usajili nchini Hispania kwa kuwa...

Usajili: Man Utd imetumia mara 14 ya Bajeti ya mwaka ya Wizara ya Michezo...

Klabu ya Manchester United jana usiku ilitangaza kufikia makubaliano na klabu ya Benfica juu ya uhamisho wa beki Victor Lindelof kwa ada ya uhamisho...

VIDEO: Chelsea imemuaga kwa heshima Branislav Ivanovic

Baada ya miaka tisa ndani ya Chelsea, ambapo alishinda mataji ya kutosha kutoka mashindano mbalimbali, Branislav Ivanovic ameshajiunga na klabu yake mpya ya Zenit...

Kiiza karejea kwenye timu yake ya zamani baada ya ‘kutemana’ na Free State Stars

Mshambuliaji wa zamani wa Simba Hamis Kiiza ‘Diedo’ amejiunga na klabu yake ya zamani ya URA aliyoichezea miaka mitano iliyopita. Pande hizo mbili zimekubaliana kusaini...

Okwi amesajiliwa na klabu ya Uganda

Baada ya kuvunja mkataba na klabu ya SønderjyskE ya nchini Denmark, mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Arnold Okwi amejiunga na SC Villa. Okwi amejiunga...

Ulimwengu amepata dili Ulaya

9 Na Zainabu Rajabu, Dar MSHAMBULIAJI wa Tanzania  Thomas Ulimwengu  amesajiliwa na  timu inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden inaitwa Athletic Football Club Eskilstuna kwa mkataba miaka...

Official: Okwi avunja mkataba na Sonderjyske Fodbold, Kurejea Msimbazi?

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda,  Emmanuel Okwi ameachana rasmi na klabu ya  Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa makubaliano ya pande zote kuamua kusitisha mkataba.  Kwa...

Mesut Ozil ; “Wenger akiendelea na mimi nabaki”

Wachezaji nyota Mesut Ozil na Alexis Sanchez wamebakiwa na miezi 18 tu hadi mikataba yao ya sasa iishe. Hivyo basi ni salama kwa club...

Video: Samatta alivyozipokea taarifa za kuondoka kwa Ndidi

Baada ya kiungo wa KRC Genk Wilfred Ndidi kujiunga na klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya England, Mbwana Samatta ambaye walikuwa wanacheza...

Kwaheri Tevez, nenda kale Pensheni yako.. Ronaldo na Messi mate yanawatoka.

Carlos Tevez anaelekea kukamilisha uhamisho wake mkubwa wa fedha nyingi kuelekea kunako nchi ya  China pamoja na mashabiki wa Boca Juniors kumwomba kwa juhudi...

Suarez atalipwa £230,000 kwa miaka mitano ijayo ndani ya Barca

Barcelona wamefanikiwa kupata saini muhimu ya mchezaji wao Luis Suarez na kujihakikishia kwamba atakuwepo na club hiyo hadi mwaka 2021. Suarez alikua ni mmoja...

Shanghai SIPG ya China kumununua mchezaji huyu kwa £52 million

China Super League au unaweza kuiita kama ligi ya pesa nyingi inafanya maajabu mengine kwa kumnunua mchezaji wa Chelsea Oscar kwa kiasi cha £52million. Midfielder...

Mkataba wa Roberto Firmino unamkataza kuhamia Arsenal kamwe

Watu wengi wameshangazwa na kuvuja kwa story ya kwamba mkataba wa mchezaji Firmino wa Liverpool una kipengele ambacho kinasema kwamba mchezaji huyu hatahamia Arsenal...

Tetesi za January : Chris Smalling yupo kwenye target ya Arsenal.

Kwenye habari ambayo ambayo watu wengi wanaweza kuona kama ni kitu ambacho inawezekana isitokee, lakini tetesi za kutoka za usajili ni kwamba Arsenal wanaweza...

CEO wa Juve athibitisha klabu yake ndio itamlipa Raiola $30m kwenye mauzo ya Pogba

Mkurugenzi mkuu wa  Juventus Giuseppe Marotta amethibitisha kwamba wakala wa Paul Pogba atalipwa kiasi cha 27 million euros ($30 million) kama malipo yake kutoka...

Messi ana mkataba wa maisha na Barca – Rais Barcelona

Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu ameviambia vyombo vya habari kwamba staa wao, Lionel Messi ana mkataba wa milele na klabu yao wakati huu...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow