Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa Page 2
Usajili wa Kimataifa

NDOA YA PEP NA CLAUDIO BRAVO NI SAHIHI NA TAKATIFU ILIYOTAKIWA KUTOKEA

"Sikuwahi kufahamu lolote la maana kuhusu soka kabla sijakutana na Johan Cruyff," Guardiola aliwahi kukaririwa. Guardiola alikuwa kiungo katika moja ya timu bora za...

NENO LA ZLATAN BAADA YA KUTAMBULISHWA OLD TRAFFORD

Zilikuwa ni tetesi na hatimaye imethibitikia na kukamilika, ambapo Manchester United leo wamemtambulisha rasmi Zlatan Ibrahimovich kuwa mchezaji wao. Ibrahimovich ambaye alifunga magoli mujarab 156...

Je Lukaku ni usajili sahihi, Sanchez atabaki au ataondoka – maswali 6 yanayohusu timu...

Msimu wa 2017-18 wa Premier League unaanza mwezi mmoja kutoka sasa. Huku dirisha la usajili likizodi kushika kasi na pre season zikiwa zimeanza tuangalie...

HII NDIO CLUB MPYA YA IKER CASILLAS BAADA YA REAL MADRID

Baada ya miaka 25 ya kukaa kwenye club ya Real Madrid hatimaye siku zake kwenye club hiyo zimeisha. Kipa huyu ambae alikua kwenye tetesi...

KAULI YA KWANZA YA PATO BAADA YA KUTUA LONDON KUJIUNGA NA CHELSEA

Alexandre Tato amesema anafuraha kujiunga na Chelsea baada ya mshambuliaji huyo wa Brazil kuwasili jijini London kukamilisha uhamisho wake wa mkopo. Wakati ikiwa bado klabu...

NENDA ZAKO SAMATA, LAKINI USISAHAU KUWA TANZANIA YETU IMEKETI…

Inasemekana kuteleza sio kuanguka, lakini ukiteleza ukaanguka pia sio mwisho wa safari, sharti unyanyuke umalizie umbali uliosalia. Moja ya nchi ambazo inawezekana kabisa baada...

LIVERPOOL BADO WANAOTA KUMNASA RADAMEL FALCAO LICHA YA UPINZANI KUTOKA REAL MADRID

Usajili: Radamel Falcao alijiunga na Monaco majira ya kiangazi mwaka jana baada ya kucheza kwa mafanikio katika klabu ya Atletico Madrid. RADAMEL Falcao bado anazivutia...

FRANCK RIBERY AME-MIND BASTIAN SCHWEINSTEIGER KWENDA UNITED

Kwenye hii video ambayo imewekewa maneno ya English yanaeonyesha jinsi gani Franck Ribery hajafurahishwa kitendo cha Bastian kusepa kwenye club ya Bayern. Wachezaji wengi...

FIGISUFIGISU ZA USAJILI DAKIKA ZA MWISHO HAZIKUANZIA KWA DE GEA, TAZAMA HAPA UJIONEE WENGINE

Na Salym Juma Mambo vipi ndugu zangu popote mnaposoma habari hizi bila shaka mmeanza kuwa wastaarabu baada ya ile sheria kuanza kutumika japokuwa sina uhakika...

ANGALIA MAPOKEZI YA AINA YAKE ALIYOPEWA EL SHAARAWY KWENYE KLABU YAKE MPYA

Mshambuliaji nguli wa AC Milan Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingine ya soka la Italia klabu ya...

FAHAMU MAMBO 10 MUHIMU KUHUSU BEKI MPYA WA MAN UNITED ERIC BAILLY

Na Mahmoud Rajab Manchester United chini ya kocha wao mpya Jose Mourinho imeanza rasmi kazi ya usajili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa...

Usajili: Mourinho atuma ofa ya rekodi kumsajili Pogba 

Baada ya kumalizika kwa ligi mbalimbali barani ulaya - kifuatacho sasa ni story za usajili katika vilabu mbalimbali - kubw ya leo ni kwamba...

MARCOS ROJO AWASILI MANCHESTER UNITED, ATARAJIWA KUANGUKA MIAKA MINNE

Akiwasili: Marcos Rojo alitua nchini England jana kukamilisha taratibu za usajili katika klabu ya Man United. MANCHESTER United wamekubali kulipa dau la paundi milioni 16...

Okwi amesajiliwa na klabu ya Uganda

Baada ya kuvunja mkataba na klabu ya SønderjyskE ya nchini Denmark, mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Arnold Okwi amejiunga na SC Villa. Okwi amejiunga...

STERLING KUTUA RASMI MANCHESTER CITY KWA DAU HILI

Sakata hili lililoteka hisia za mashabiki duniani kote ikiwa ni pamoja na vyombo vya habari, limefikia tamati wakati ambao timu zinajiandaa na msimu mpya....

PATRICK VIERA ANATARAJIWA KUWA KOCHA WA CLUB HII YA EPL

Anauzoefu mkubwa wa ligi ya Uingereza baada ya kucheza mechi zaidi ya 300 na kushinda mataji. Viera ambae wiki hii amekamilisha mafunzo yake ya...

ANAWEZA KUWA HAZARD MPYA? SOUTHAMPTON YAMTWAA SOUFIANE BOUFAL

Inawezekana kabisa kukawa na wachezaji wengi vijana am ao wamekuwa wakifaanishwa na wachezaji wengi wakubwa lakini mara nyingi ikiwa ni wachezaji wawili wanaotikisa dunia...

TETESI ZINASEMA CHELSEA IMEPATA SAINI YA MCHEZAJI  KUTOKA BRAZIL ALIYEKUA ANAWINDWA NA BARCELONA NA...

Japokua club yake haijaweka wazi wapi anapoeleka, lakini wamesema kwamba mchezaji wao Robert Kenedy Nunes do Nascimento au kwa kifupi Kenedy ameshanunuliwa na timu...

HAKUNA MZAHA: MANCHESTER UNITED YAWEKA MZIGO WA PAUNDI MILIONI 100 KUINASA SAINI YA ANGEL...

Kwenye rada kali: Manchester United wanajiandaa kuwekeza kitita cha kutosha ili kuinasa saini ya Angel Di Maria kutoka Real Madrid. MASHETANI wekundu, Manchester United wanajiandaa...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow