Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa Page 2
Usajili wa Kimataifa

Breaking News: Hatimaye Athibitishwa Rasmi Kujiunga na klabu ya Manchester….

Kizungumkuti cha timu atakayojiunga nayo kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola msimu ujao kimemalizika rasmi mchana huu. Taarifa iliyothibitishwa rasmi na klabu ya Manchester City...

Wenger: Sitosajili mchezaji yoyote leo labda nipewe nafasi ya kumsajili Messi Tu.

Dirisha la usajili barani ulaya linafungwa leo usiku 5.59 kwa saa za Afrika Mashariki, mashabiki wa vilabu mbalimbali wakifuatilia kwa karibu kuona timu zao...

JOHN TERRY APEWA MKONO WA KWAHERI BAADA YA MIAKA 21 CHELSEA

Nahodha wa Chelsea John Terry anatarajiwa kuihama klabu hiyo mwisho wa msimu huu mara baada ya kupewa taarifa na uongozi kuwa hatoongezewa mkataba mpya...

UNAJUA KWANINI SAMATTA AMEAMUA KUVAA JEZI NAMBA 77 AKIWA GENK? MAJIBU YOTE YAKO HAPA

Mbwana Samatta ambaye kwasasa ni mchezaji wa kulipwa wa klabu ya Genk ya Ubelgiji amezungumza na shaffihdauda.co.tz kwanini ameamua kuchagua kuvaa jezi yenye namba...

ULIMWENGU: SIKU SI NYINGI NA MIMI NAMFUTA NYUMA SAMATTA

Thomas Ulimwengu ni mchezaji ambaye amecheza kwa muda mrefu na Mbwana Samatta kwenye klabu ya TP Mazembe. Samatta ameshatambulishwa kwenye klabu ya Genk na...

SAMATTA: NILIHISI NAKUWA ‘CHIZI’ KWA FURAHA BAADA YA DILI LA KUHAMIA GENK KUKAMILIKA

Mara baada ya Mbwana Samatta kukamilisha taratibu zote za kujiunga na klabu ya Genk, nyota huyo wa kwanza kutoka Bongo katika kizazi cha leo...

SAMATTA KUFUATA NYAYO ZA BENTEKE, DE BRUYNE NA COURTOIS? USOME WASIFU WA KLABU YAKE...

Sakata la usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta kwenda kucheza soka barani ulaya hatimaye limemalizika leo hii baada ya kusaini mkataba...

GENK YATHIBITISHA KUMNASA MBWANA SAMATTA, HII NDIYO RIPOTI YAO NA UKOMO WA MKATABA

Aly Mbwana Samatta hatimaye hatua kunako katika klabu  ya  Genk. Katika dakika ya mwisho KRC Genk hatimaye imemnasa  mshambuliaji iliyotumia muda na maarifa kuinasa saini...

BREAKING NEWS: KATUMBI AMUWASHIA SAMATTA TAA YA KIJANI

Rais wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi amesaini form za uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia...

Unajua Messi kapiga chini Ofa ngapi za Real Madrid? Jibu hili hapa

Mara ya mwisho kwa Real Madrid kumsajili mchezaji kutoka kwa mahasimu wao Real Madrid ilikuwa mnamo mwaka 2000 - wakati Luis Figo alipojiunga na...

KAULI YA KWANZA YA PATO BAADA YA KUTUA LONDON KUJIUNGA NA CHELSEA

Alexandre Tato amesema anafuraha kujiunga na Chelsea baada ya mshambuliaji huyo wa Brazil kuwasili jijini London kukamilisha uhamisho wake wa mkopo. Wakati ikiwa bado klabu...

Ushahidi: Usajili wa Ronaldo umeigharimu zaidi Madrid Kuliko wa Bale

Usajili wa Cristiano Ronaldo kutoka Manchester United kwenda Real Madrid unabaki kiwa usajili wa gharama zaidi katika historia ya soka ulimwenguni.    'Football Leaks' mapema wiki...

Luis Suarez Hakuwa Chaguo la Kwanza la Usajili Barca – Kiongozi wa Barca afunguka

Mkurugenzi wa michezo wa zamani wa Barcelona  Andoni Zubizarreta amefunguka na kusema klabu yake iliamua kumsajili Luis Suarez kwa sababu chaguo lao la kwanza...

Hivyo Ndivyo Real Madrid Wanavypanga Kupangua Kifungo cha Kusajili cha FIFA

Real Madrid wametangaza kwamba watakata rufaa juu ya kifungo cha kusajili katika vipindi viwili vijavyo vya usajili walichopewa na FIFA jana Alhamisi, kutokana na...

Kilichoikuta Barca, Chawakumba Real Madrid na Atletico – Wafungiwa Kusajili

Wakati mambo yakiwa hayawaendei sawa katika msimu huu, klabu ya Real Madrid ya Hispania imepokea taarifa mbaya zaidi katika mikakati yake ya kujiimarisha.   Real Madrid...

ZIDANE TIZAMA NYUMA YA MIWANI YA PEREZ NA MIGONGO YA MASHABIKI BERNABEU.

Muasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji...

Video: Usajili wa Kwanza wa Arsenal Dirisha la January Mbioni Kukamilika

Usajili wa kwanza kabisa kwa dirisha la mwezi January kwa klabu ya Arsenal upo mbioni kukamilika. Unaripotiwa kwamba usajili wa kiungo wa kiafrika kutoka Misiri...

Rasmi Guardiola Atamka Anaelekea EPL: Je Ni Man Utd, City, Chelsea au Arsenal

Unaweza kuacha kusoma tetesi. Hatimaye kocha Pep Guardiola leo amethibitisha rasmi kwamba ataenda kufundisha soka katika ligi kuu ya Uingereza - Barclays Premier. Boss...

Video: Huyu ndio Fellipe Anderson – Mbrazil Ambaye Anatajwa Kuelekea Old Trafford

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=IFxaE79gXz0] Hatimaye dirisha la usajili limefunguliwa rasmi barani ulaya na tetesi za usajili ndio habari kuu katika kurasa za michezo za magazeti mbali...

MBWANA SAMATTA ATUA UBELGIJI KUKAMILISHA USAJILI

Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinasema kwamba, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR Mbwana Samatta muda...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow