Saturday, September 22, 2018

Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa
Usajili wa Kimataifa

HENRY AULA KWAO NA LUKAKU, HAZARD.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal ambaye pia alikuwa akifanya kazi kama mchambuzi wa masuala ya soka kwenye kituo cha televisheni cha Skysports...

Kwanini Mourinho Ndio Mtu Sahihi kwa Man Utd – Baada ya City Kumpata Guardiola 

Wakati tangazo la kumuajiri Pep Guardiola lilipotolewa na Manchester City  hakukuwa na mshangao wowote.  Lakini kwa mashabiki wa Manchester United ilikuja kwa kuwaongezea mawazo juu...

Baada ya taarifa za Zlatan kupewa ofa ya mkataba na Man United – Wakala...

Zlatan Ibrahimovic bado hajapokea ofa rasmi ya mkataba kutoka kwa Manchester United, wakala wake amethibitisha usiku wa kuamkia leo. Mapema leo, siku...

Mshambuliaji wa Azam kasaini miaka 2 Hispania

Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Idd Chilunda, amesajiliwa na CD Tenerife inayoshiriki Segunda Division (ligi daraja la kwanza). Meneja wa Azam FC Philip Alando amethibitisha...

WALICHOKIFANYA CHELSEA KWA PEDRO NA MANCHESTER WAMEFANYA TENA KWA CRYSTAL PALACE

John Stones alikua changuo la kwanza kwa Chelsea ili kuimarisha sehemu ya ulinzi wa goli lao, lakini jaribio hilo limeshindikana baada ya Everton kukataa...

ARSENAL YAANZA MAKEKE YA USAJILI

Klabu ya arsenal tayari imeanza mazungumzo rasmi ya kumuwania Kiungo wa Borussia Dortmund, Ilkay Gundogan huku kiasi ya Pauni 16M zikitajwa kuhitajika katika usajili...

CR7 to Juventus: Ni siasa za Mendes kutaka malipo makubwa au kweli anaondoka...

Kila unapofika wakati wa usajili suala la Cristiano Ronaldo kuhusishwa na kuondoka Real Madrid huwa linatawala vichwa vya habari. Kwa muda wa miaka 9...

Usajili: Mourinho atuma ofa ya rekodi kumsajili Pogba 

Baada ya kumalizika kwa ligi mbalimbali barani ulaya - kifuatacho sasa ni story za usajili katika vilabu mbalimbali - kubw ya leo ni kwamba...

Baada ya miaka 10, Real Madrid waweka rekodi ya matumizi madogo kwenye usajili

Ukimya wa Real Madrid katika soko la usajili umewafanya mabingwa hao wa ulaya kuweka rekodi ya kutumia Fedha kidogo zaidi kwenye usajili katika kipindi...

KARIM BENZEMA AAMUA KUZEEKEA REAL MADRID

Bado nipo nipo kwanza!: Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ameamua kuongeza mkataba mpaka mwaka 2019.  KARIM Benzema ameamua kuzeekea Real Madrid baada ya kuongeza...

STORY KUBWA