Tuesday, September 25, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

Tetesi za Drogba kurejea Stamford Bridge

Baada ya legend wa Liverpool Steven Gerrard, ikafata zamu ya mkongwe wa Chelsea Frank Lampard. Siku ya Jumatano asubuhi Novemba 23 Didier Drogba ameungana na...

ZIDANE TIZAMA NYUMA YA MIWANI YA PEREZ NA MIGONGO YA MASHABIKI BERNABEU.

Muasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji...

Pekerman apata kura 400,000 za Uraisi pamoja na jina lake kutokuwa miongoni mwa wagombea.

Jose Pekerman amepata jumla ya kura 400,000 kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua raisi wa nchi ya Colombia pamoja na kutokuwa miongoni mwa majina ya...

HIZI NI SABABU 10 ZA KWANINI ASIA ILIBORONGO KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI...

Carlos Queiroz alijiuzulu nafasi yake ya ukocha wa timu ya taifa ya Iran baada ya nchi hiyo kutolewa hatua ya makundi katika fainali za...

Loic Remy ajiunga na Chelsea kwa mkataba wa miaka 4.

Mshambuliaji raia wa ufaransa Loic Remy amejiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa miaka 4 akitokea klabu ya QPR. Chelsea imelipa paundi milioni 8...

AZAM YAMDONDOSHA STRIKER WA IVORY COAST

Kwa mujibu wa mtandao wa azamfc.co.tz, mshambuliaji Ibrahima Fofana kutoka nchini Ivory Coast ametua nchini leo Jumanne mchana tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga...

Simba yaapa kusajili dirisha dogo

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma amesema, klabu yake ni lazima ifanye usajili wa wachezaji wanne katika dirisha hili dogo la usajili kwa ajili...

Yanga yaingia sokoni kusaka vifaa 3 kimataifa

Waada ya kutoka sare ya kutofungana katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi kombe la shirikisho Afrika dhidi ya kikosi cha Rayon Sports...

STORY KUBWA