Sunday, September 23, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

VARDY ATABAKI LEICESTER – WENGER

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba Jamie Vardy hataikataa Arsenal na kubaki Leicester Maneno haya yanakuja baada mmiliki wa Leicester Aiyawatt Srivaddhanaprabha kusema kwamba Vardy...

SESEME AIKANA MBEYA CITY, KUSAINI…

Na Baraka Mbolembole KIUNGO mshambulizi wa zamani wa Simba SC, Abdallah Seseme amekanusha kutakiwa na Mbeya City FC ya Mbeya na badala yake anataraji kusaini...

TETESI HII YA ARSENAL YATENGENEZA TWEETS KIBAO…

Baadhi ya mashabiki wa Arsenal bado wana hamu ya kuona klabu yao inasajili mchezaji mkubwa majira haya ya kiangazi. Leo zimetoka tetesi kwamba, nyota wa...

FRANCK RIBERY AME-MIND BASTIAN SCHWEINSTEIGER KWENDA UNITED

Kwenye hii video ambayo imewekewa maneno ya English yanaeonyesha jinsi gani Franck Ribery hajafurahishwa kitendo cha Bastian kusepa kwenye club ya Bayern. Wachezaji wengi...

UPDATE: KOCHA WA REAL MADRID AMEPIGILI MSUMALI WA MWISHO KUHUSU BENZEMA NA ARSENAL

Real Madrid imezidisha msumali kwenye ndoto ya Arsenal kutaka kumsanjili Benzema kwa msimu huu. Mipango ya Arsenal ya kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid karim...

TOP 5 YA STORY ZINAZOHUSU USAJILI ULAYA

Dirisha dogo la usajili kwa vilabu vya Ulaya litafunguliwa mwezi January, 2016 kwa ajili ya vilabu kufanya maboresho ya vikosi vyao ili kuendelea na...

ARSENE WENGER AMEPIGWA PICHA KWENYE NDEGE AKIELEKEA KUKAMILISHA DILI LA CAVANI NDANI YA PARIS

Manager Wenger alisema kwamba kabla ya kupindi cha usajili hakijaisha lazima atafanya usajili mwingine ambapo jibu limepatikana kwa kiasi kikubwa atakua ni Cavani. Arsene Wenger...

RAHEEM STERLING ANAENDELEA KUUMIZA KICHWA LIVERPOOL

Raheem Sterling amekosa mazoezi ya Liverpool kwa siku ya pili mfululizo baada ya kuiambia klabu hiyo kwamba bado anaumwa.Sterling mwenye miaka 20 hakuwepo katika...

STORY KUBWA