Monday, September 24, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

SIMBA WASIOFUGIKA CAMEROON WATAJA KIKOSI CHA AWALI CHA WACHEZAJI 28 KOMBE LA DUNIA….SAMUEL ETO`O...

SAMUEL Eto`o ametajwa katika kikosi cha awali cha wachezaji 28 cha timu ya taifa ya Cameroon kwa ajili ya fainali za kombe la dunia...

GHANA YATAJA KIKOSI CHA AWALI CHA WACHEZAJI 27-NAHODHA JONH MENSAH ATEMWA

BEKI wa klabu ya Leicester City , Jeffery Schlupp ameitwa katika kikosi cha awali cha wachezai 26 cha timu ya Taifa ya Ghana `Black...

KIKOSI CHA ENGLAND KITAKACHOENDA BRAZIL – ASHLEY COLE AACHWA NA KUJIUZULU

KOCHA wa timu ta taifa ya England, Roy Hodgson ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil....

MEXICO YATAJA WACHEZAJI 23 KOMBE LA DUNIA, CHICHARITO, DOS SANTOS NDANI

KOCHA wa timu ya taifa ya Mexico, Miguel Herrera amemjumuisha mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernandez `Chicharito` na Giovan dos Santos wa Villarreal katika...

HAYA NDIO MAKUNDI YA TIMU ZOTE 32 ZITAKAZOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Group A Teams MP W D L GF GA Pts   Brazil 0 0 0 0 0 0 0   Croatia 0 0 0 0 0 0 0   Mexico 0 0 0 0 0 0 0   Cameroon 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group B Teams MP W D L GF GA Pts   Spain 0 0 0 0 0 0 0   Netherlands 0 0 0 0 0 0 0   Chile 0 0 0 0 0 0 0   Australia 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group C Teams MP W D L GF GA Pts   Colombia 0 0 0 0 0 0 0   Greece 0 0 0 0 0 0 0   Côte d'Ivoire 0 0 0 0 0 0 0   Japan 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group D Teams MP W D L GF GA Pts   Uruguay 0 0 0 0 0 0 0   Costa Rica 0 0 0 0 0 0 0   England 0 0 0 0 0 0 0   Italy 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group E Teams MP W D L GF GA Pts   Switzerland 0 0 0 0 0 0 0   Ecuador 0 0 0 0 0 0 0   France 0 0 0 0 0 0 0   Honduras 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group F Teams MP W D L GF GA Pts   Argentina 0 0 0 0 0 0 0   Bosnia and Herzegovina 0 0 0 0 0 0 0   Iran 0 0 0 0 0 0 0   Nigeria 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group G Teams MP W D L GF GA Pts   Germany 0 0 0 0 0 0 0   Portugal 0 0 0 0 0 0 0   Ghana 0 0 0 0 0 0 0   USA 0 0 0 0 0 0 0   Group Details Group H Teams MP W D L GF GA Pts   Belgium 0 0 0 0 0 0 0   Algeria 0 0 0 0 0 0 0   Russia 0 0 0 0 0 0 0   Korea Republic 0 0 0 0 0 0 0  

HIKI NDICHO KIKOSI CHA WACHEZAJI 23 CHA WENYEJI BRAZIL

HAWA ndio wachezaji 23 waliotajwa na kocha wa timu ya taifa ya Brazil , Luiz Felipe Scolari kwa ajili ya kusaka ubingwa wa sita...

NIGERIA YATANGAZA KIKOSI CHA AWALI CHA WACHEZAJI 30 KOMBE LA DUNIA

 Kocha wa Nigeria, Stephen Kheshi SHIRIKISHO la Soka Nigeria (NFF) limetangaza kikosi cha cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya Fainali za Kombe...

UJERUMANI YATAJA KIKOSI CHA AWALI CHA WACHEZA 30 KOMBE LA DUNIA, MARIO GOMES ATOLEWA...

KOCHA wa timu ya Taifa ya Ujeruman, Joachim Law ametaja kikosi cha awali cha wanandinga 30 kwa ajili ya kombe la dunia majira ya...

STORY KUBWA