Wednesday, September 19, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

PUMA WAZINDUA NJUMU MPYA ZITAKAZOVALIWA NA BALOTELLI, FABREGAS KOMBE LA DUNIA

KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua viatu vya EvoPOWER kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil. Viatu hivyo vimezinduliwa...

MASHABIKI WAANDAMANA KUPINGA TEVEZ KUACHWA KIKOSI CHA ARGENTINA.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=jsWit0nNBO4&w=640&h=360]

MODRIC, MANDZUKIC WAITWA KIKOSI CHA AWALI CHA CROATIA KOMBE LA DUNIA

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Croatia ,  Niko Kovac ametangaza kikosi cha awali kwa ajili ya kombe la dunia majira  ya kiangazi...

SABELLA AMPOTEZEA CARLOS TEVEZ KIKOSI CHA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

CARLOS Tevez ameachwa kwenye kikosi cha awali cha kocha  wa Argentina,  Alejandro Sabella kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Mshambuliaji huyo...

RADAMEL FALCAO ATAJWA KIKOSI CHA AWALI CHA COLOMBIA KOMBE LA DUNIA

KOCHA wa timu ya taifa ya Colombia, Jose Pekerman amemtaja Radamel Falcao  katika kikosi chake cha awali cha wachezaji 29 kwa ajili ya kombe...

LUIS SUAREZ KUIBEBA MGONGONI URUGUAY KOMBE LA DUNIA

Uruguay World Cup Squad Position Player Club GK Fernando Muslera Galatasaray GK Martin Silva Vasco da Gama GK Rodrigo Munoz Libertad DEF Maximiliano Pereira Benfica DEF Diego Lugano West Brom DEF Diego Godin Atletico Madrid DEF Jose Maria Gimenez Atletico Madrid DEF Sebastian Coates Liverpool DEF Martin Caceres Juventus DEF Jorge Fucile Porto MID Alejandro Silva Lanus MID Alvaro Gonzalez Lazio MID Alvaro Pereira Sao Paulo MID Walter...

SAMIR NASRI WA MAN CITY ATOSWA KIKOSI CHA AWALI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA

KIUNGO wa Manchester City, Samir Nasri ameachwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya kombe la dunia mwezi...

RONALDO KUONGOZA JAHAZI LA URENO KOMBE LA DUNIA, WACHEZAJI 30 WATAJWA KIKOSI CHA AWALI

URENO imetaja kikosi chake cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil, huku nyota wa Real Madrid...

ADNAN YUNAZAJ AITWA TIMU YA UBELGIJI INAYOKWENDA BRAZIL KOMBE LA DUNIA, KIKOSI KIZIMA HIKI...

KOCHA wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Marc Wilmots ametaja kikosi chake kwa ajili ya kombe la dunia na kumujumuisha kinda wa Manchester United...

ISCO ATEMWA KIKOSI CHA AWALI CHA HISPANIA KOMBE LA DUNIA, NONDO ZOTE HIZI HAPA

KOCHA wa timu ya taifa ya Hispania na mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Vicente del Bosque ametanagaza kikosi cha awali cha wachezaji 30...

STORY KUBWA