Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili Page 4

Breaking News: Fred kutua Man U, sakata la kocha mpya Chelsea

Katika taarifa zilizoshika kasi barani ulaya ni taarifa kuhusiana na usajili wa nafasi ya ukufunzi katika klabu ya Chelsea. Habari za fuku fuku amefukua kwamba...

DoneDeal: Kutinyu kaungana na Ngoma Azam

Kiungo wa Singida United Tafadzwa Kutinyu anaungana na kocha Hans van Pluijm kuelekea Azam FC kwa ajili ya msimu ujao. Meneja wa Azam FC Philip...

Geoff Lea baada ya kusikia Ngasa amerudi Yanga “ningekuwa shabiki wa Yanga nisingefurahi”

Baada ya Yanga kuthibisha kumalizana na Ngasa mchambuzi wa michezo Geoff Lea kupitia Sports Xtra amesema kama angekuwa shabiki wa Yanga asingewaelewa kabisa viongozi...

Ngasa amerudi nyumbani

Uongozi wa Yanga umethibitisha kumsajili mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Mrisho Ngasa 'Anko' ambaye alikuwa anachezea Ndanda FC katika msimu uliomalizika hivi karibuni. Ngasa...

Yondani katoweka Yanga

Unaambiwa huko Yanga mambo ni moto mwanangu, baada ya Donald Ngoma kuachana na klabu hiyo na muda mfupi kuingia makubaliano ya kusaini mkataba na...

Manara ametangaza usajili wa pigo takatifu “itakuwa tishio”

Baada ya klabu ya Simba kukamilisha usajili wa Adam Salamba aliyemaliza mkataba na Lipuli, msemaji wa mabingwa wa VPL Haji Manara amesema usajili utakaofuata...

RASMI: Yanga yapigwa bao saini ya Salamba

Kwa sasa picha ya Adam Salamba akisaini mkataba na ile akiwa pamoja na Mohamed Dewji Mo ndiyo ina-trend kinoma kwenye social networks kwa upande...

Yanga baada ya Ngoma kumalizana na Azam “tulimvumilia sana”

Baada ya Azam FC kutangaza imeingia makubaliano kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Yanga Donald Ngoma, uongozi wa Yanga umesema umeumizwa na...

Rasmi: Ngoma ametambulishwa Azam

Baada ya Yanga kutangaza kumtema Donald Ngoma kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu, uongozi wa Azam FC umemtambulisha rasmi mshambuliaji huyo raia...

Manara kuhusu Kichuya kutakiwa TP Mazembe “hamu yake ni kucheza nje ya Tanzania”

Hivi karibuni baba mzazi wa Shiza Kichuya alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akisema, anataka mtoto wake akimaliza mkataba na Simba aende TP...

IMETHIBITISHWA: Pluijm anaondoka Singida United

Mkurugenzi wa Singida United Festo Sanga amethibitisha kwamba baada ya msimu kumalizika kocha wao mkuu Hans van Pluijm ataachana na club hiyo. "Ni kweli kwamba...

Shaffih Dauda anaamini Mikel Arteta anafaa kuwa mrithi wa Wenger

Taarifa ambazo zinazidi kuenea kuhusu kocha atakaevaaa viatu vya Arsene Wenger kuifundisha Arsenal zinamhusisha mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Mikel Arteta ambaye kwa...

Madee baada ya kusikia Mikel Arteta atakuwa kocha mkuu Arsenal

Madee ni miongoni mwa mashabiki wa kutupwa wa Arsenal na mara kadhaa amekuwa akitoa maoni juu ya mwenendo wa klabu hiyo ikiwa ni pamoja...

Kocha mpya Yanga asaini mkataba na kuondoka

Kocha Zahera Mwinyi baada ya kuwasili kwa lengo la kuifundisha klabu ya Yanga ilionekana alikuwa bado hajasaini mkataba, hatimaye kocha huyo amesaini mkataba wa...

Yanga yaingia sokoni kusaka vifaa 3 kimataifa

Waada ya kutoka sare ya kutofungana katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi kombe la shirikisho Afrika dhidi ya kikosi cha Rayon Sports...

Ufafanuzi wa TFF usajili wa Salamba Yanga

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amefafanua namna Yanga wanavyoweza kufanikisha kumsajili na kumtumia mshambuliaji wa Lipuli Adam Salamba kwa mujibu wa kanuni. "Ukisoma...

Tetesi kocha wa Mbao anaondoka “Hatuwezi kumzuia kwenda anapoona panamfaa”

Uongozi wa Mbao umesema bado wana mkataba na kocha Etiene Ndayiragije, endapo atapata sehemu nyingine itakayokuwa bora zaidi kwake hawatamzuia kwa sababu mpira ni...

Mkwasa atajwa chanzo Lwandamina kuondoka Yanga

Kocha George Lwandamina ameshaitema klabu ya Yanga na tayari ZESCO United imeshatangaza rasmi kumsaini kocha huyo ambaye aliisaidia Yanga kushinda taji la ligi kuu...

IMETHIBITISHWA: Lwandamina ameitosa Yanga

Imethibitika kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amerejea kwao Zambia na amejiunga rasmi la klabu yake ya zamani ZESCO United ambayo alikuwa...

Taarifa zimeifikia Yanga Lwandamina anataka kuondoka

Taarifa zimeanza kueneza kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kwamba George Lwandamina anatakiwa na klabu ya Zesco United ya Zambia...
471,128FansLike
1,416,588FollowersFollow
65,781FollowersFollow

Instagram