Tuesday, September 25, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

MAJIBU YA AZAM FC KUHUSU KIPRE TCHETCHE KUTIMKIA UARABUNI

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Azam FC Saad Kawemba amekanusha taarifa za nyota wao Kipre Tchetche kusaini kwenye klabu moja ya nchi za falme...

LIONEL MESSI, KUFUNGUA AKAUNTI YA MAGOLI KOMBE LA DUNIA?

Na Baraka Mbolembole Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi atakuwa akicheza mchezo wake wa 89 katika timu ya Taifa usiku wa leo wakati, mabingwa mara mbili...

RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC

Stori kubwa leo hii  ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano 'Messi' kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa...

Azam kwenye hatua za mwisho kumnasa star wa Mbeya City

Katika kuhakikisha inaboresha kikosi chake katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili, klabu ya Azam FC ipo kwenye mazungumzo na mchezaji wa Mbeya...

Bayern yamkataa Martial, Kessy apata ulaji nje ya nchi

Mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich, Karl -Heinz Rummenigge, amesema kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United, Anthony Martial, hayupo kwenye mipango ya kumsajili. Martial,...

EXCLUSIVE: SIMBA IMETANGAZA KIKOSI CHA MSIMU WA 2016-17, MAVUGO, AME ALI NDANI

Simba imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao (2016-17) ambao kwa asilimia kubwa imeufanya kimyakimya hususan ule wa wachezaji wa nje ya...

TIMU ZA AFRIKA ZAZIDI KUWA UROJO KOMBE LA DUNIA, ALGERIA NAYO YAKUNG`UTWA 2-1 NA...

 Manywele! Nyota wa Manchester United ,  Marouane Fellaini akishangilia bao lake la kusawazisha . Marouane Fellaini akitokea benchi ameifungia Ubelgiji bao la kusawazisha katika kipindi...

HAKUNA MZAHA: MANCHESTER UNITED YAWEKA MZIGO WA PAUNDI MILIONI 100 KUINASA SAINI YA ANGEL...

Kwenye rada kali: Manchester United wanajiandaa kuwekeza kitita cha kutosha ili kuinasa saini ya Angel Di Maria kutoka Real Madrid. MASHETANI wekundu, Manchester United wanajiandaa...

CHELSEA YAMUWANIA STRIKER WA AC MILAN

Klabu ya soka ya Chelsea ya nchini England imeongeza jina la mshambuliaji wa klabu ya soka nchini Italia AC Milan, raia wa Colombia Carlos...

MATUKIO YALIYOWAHI KUSHANGAZA KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

NA BARAKA MBOLEMBOLE KWA  MSAADA WA  MTANDAO SIKU YA Alhamis wiki hii, michuano ya 20 ya fainali za kombe la dunia itakata utepe wake nchini...

STORY KUBWA