Friday, September 21, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

UJIO WA GUARDIOALA NI SHUBIRI KWA BAADHI YA MAKOCHA NA WACHEZAJI, LAKINI NI FURAHA...

DAVID SILVA Ni moja ya wachezaji wachache wa Ligi Kuu England ambao wana uwezo wa kuendana na mfumo wa tiki-taka ambao kimsingi ndio mfumo anaoupenda...

MAMBO 5 YANAYOTARAJIWA MANCHESTER CITY CHINI YA UTAWALA WA GUARDIOLA 

Uhamisho wa Guardiola kuelekea Manchester City ilikuwa ni moja kati ya siri kubwa huku akihusishwa kujiunga Manchester united lakini sasa imekuwa wazi kuwa atajiunga Manchester City...

TOP 5 YA WACHEZAJI WALIONUNULIWA KWA PESA NYINGI KIPINDI CHA DIRISHA DOGO LA USAJILI

Kwenye orodha ya timu tano za Ulaya ambazo zimetumia pesa nyingi kusajili mchezaji mmoja (zaidi ya pauni milioni 10) nne kati ya hizo zinatoka...

KLABU ILIYOTUMIA MKWANJA MREFU KWENYE USAJILI WA DIRISHA DOGO EPL

Newcastle United imeshindwa kuinasa saini ya Saido Berahino kwenye kipindi cha dirsha dogo la usajili lakini kocha wa timu hiyo Steve McClaren amefanikiwa kuwanasa...

BAADA YA DIRISHA DOGO LA USAJILI KUFUNGWA, HII NI ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTOKA NA...

Dirisha dogo la usajili barani Ulaya limefungwa usiku wa January 1, 2016. Kabla ya dirisha hilo kufungwa kulikuwa na pilika nyingi sana kwa vilabu...

Breaking News: Hatimaye Athibitishwa Rasmi Kujiunga na klabu ya Manchester….

Kizungumkuti cha timu atakayojiunga nayo kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola msimu ujao kimemalizika rasmi mchana huu. Taarifa iliyothibitishwa rasmi na klabu ya Manchester City...

Wenger: Sitosajili mchezaji yoyote leo labda nipewe nafasi ya kumsajili Messi Tu.

Dirisha la usajili barani ulaya linafungwa leo usiku 5.59 kwa saa za Afrika Mashariki, mashabiki wa vilabu mbalimbali wakifuatilia kwa karibu kuona timu zao...

JOHN TERRY APEWA MKONO WA KWAHERI BAADA YA MIAKA 21 CHELSEA

Nahodha wa Chelsea John Terry anatarajiwa kuihama klabu hiyo mwisho wa msimu huu mara baada ya kupewa taarifa na uongozi kuwa hatoongezewa mkataba mpya...

UNAJUA KWANINI SAMATTA AMEAMUA KUVAA JEZI NAMBA 77 AKIWA GENK? MAJIBU YOTE YAKO HAPA

Mbwana Samatta ambaye kwasasa ni mchezaji wa kulipwa wa klabu ya Genk ya Ubelgiji amezungumza na shaffihdauda.co.tz kwanini ameamua kuchagua kuvaa jezi yenye namba...

ULIMWENGU: SIKU SI NYINGI NA MIMI NAMFUTA NYUMA SAMATTA

Thomas Ulimwengu ni mchezaji ambaye amecheza kwa muda mrefu na Mbwana Samatta kwenye klabu ya TP Mazembe. Samatta ameshatambulishwa kwenye klabu ya Genk na...

STORY KUBWA