Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili Page 2

NJE YA SOKA, BRAZIL IMEJAA VIVUTIO

 Na Shaffih Dauda, Brazil  Nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inaanza kutimua vumbi lake usiku wa leo kwa timu wenyeji wa michuano, Brazil...

COSTA RICA WANA JIPYA GANI MWAKA HUU…

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=H1R8R0via38] Unapotaja neno La Sele ama Los Ticos moja kwa moja utakuwa unaizungumzia timu ya taifa ya Costa Rica, ambayo ni timu ya tatu...

AZAM YAVUTA KIFAA KINGINE TOKA MEDEAMA

Mtandao wa azamfc.co.tz umeripoti kwamba, Azam FC imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu...

WEWE NI SHABIKI WA LIVERPOOL?? MSIKIE KLOPP KUHUSU USAJILI

Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool amesema kuwa haoni sababu ya kukimbilia sokoni kwa haraka January hii huku akisema anawataka wachezaji alionao kutumia fursa waliyonayo...

TETESI ZINASEMA CHELSEA IMEPATA SAINI YA MCHEZAJI  KUTOKA BRAZIL ALIYEKUA ANAWINDWA NA BARCELONA NA...

Japokua club yake haijaweka wazi wapi anapoeleka, lakini wamesema kwamba mchezaji wao Robert Kenedy Nunes do Nascimento au kwa kifupi Kenedy ameshanunuliwa na timu...

USAJILI HUU WA ‘MR. KAZINYINGI’ HAUWEZI KUIFANYA SIMBA IPUNGUZE PENGO LA UBORA DHIDI YANGA...

Na Baraka Mbolembole BADO ni ngumu upande wangu kuamini kwamba sajili za mshambulizi, Jamal Mnyate, beki wa kati, Emmanuel Semwanza, beki wa kulia, Hamad Juma...

RASMI: Yanga yapigwa bao saini ya Salamba

Kwa sasa picha ya Adam Salamba akisaini mkataba na ile akiwa pamoja na Mohamed Dewji Mo ndiyo ina-trend kinoma kwenye social networks kwa upande...

MAJIBU YA AZAM FC KUHUSU KIPRE TCHETCHE KUTIMKIA UARABUNI

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Azam FC Saad Kawemba amekanusha taarifa za nyota wao Kipre Tchetche kusaini kwenye klabu moja ya nchi za falme...

Rudiger, ‘jembe’ linalotarajiwa kuhatarisha usalama wa Garry Cahil darajani

Na Salym Juma, Arusha Mapema baada ya dirisha kubwa la usajili kufunguliwa Chelsea ilianza vibaya mbio za usajili baada ya kuondokewa na majina kadhaa kama...

COSTA RICA ILIFANYA MAAJABU BILA KUWA NA WACHEZAJI WANAOCHEZA LIGI KUBWA ULAYA

Na Baraka Mbolembole Kocha raia wa Colombia, Jorge Luis Pinto Afanador mwenye umri wa miaka 61 aliweza kuisaidia timu ya Taifa ya Costa Rica kufika...

Tetesi za Drogba kurejea Stamford Bridge

Baada ya legend wa Liverpool Steven Gerrard, ikafata zamu ya mkongwe wa Chelsea Frank Lampard. Siku ya Jumatano asubuhi Novemba 23 Didier Drogba ameungana na...

Himid Mao kuhusu majaribio aliyofanya Ulaya na mkataba wake na Azam

Kiungo wa ulinzi wa Azam FC na timu ya taifa Himid Mao amesema alifanya majaribio aliyokwenda kufanya Denmark kwenye klabu ya Randers yalikwenda vizuri...

Jicho La 3: SIMBA NA ‘VIBABU’ VYAKE VYA KIMATAIFA KATIKA NGOME, WACHUKUENI…

Na Baraka Mbolembole Kuna Wakati Unanuna Lakini Unaishia Kucheka Tu. Sasa hii‎ Simba ‪SC wanafanya kitu gani? ‪ Anaitwa Method Mwanjali raia wa Zimbabwe ‪ni beki wa kati kiumri...

MAN UNITED MJUENI MHIKITARYAN, MCHEZAJI ATAKAYEBADILISHA MASHAMBULIZI YENU

Kwa habari zilizojitokeza hivi karibuni kwenye mtandao wa Borrusia Dortmund ni kwamba klabu hiyo imekubali dau la Man Utd kwa ajili ya mchezaji wao...

SAMUEL ETO’O AMTEGA PABAYA MARIO BALOTELLI, AKIZINGUA TU ANATUA ANFIELD KUMWAGA WINO!

Anakwenda Merseyside? Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel Eto'o anaweza kujiunga na Liverpool. MCAMEROON, Samuel Eto'o yuko tayari kukamilisha usajili wa ghafla kujiunga na Liverpool. Mario...

ALVES ANAONDOKA BARCA NA KUACHA ALAMA 16 ZA KUKUMBUKWA

Na Mahmoud Rajab Dani Alves ni moja ya wachezaji waliocheza Bracelona kwa mafanikio makubwa sana. Ameitumikia kwa uaminifu klabu hiyo kwa takriban misimu nane. Alves...

Banka azikaribisha Simba, Yanga

Na Abubakar Khatib 'Kisandu', Zanzibar Dirisha dogo la usajili kwa msimu wa 2017-18 limefunguliwa Jumatano ya November 15, 2017 kwa ajili ya vilabu vya madaraja...

SIMBA IMEMSAJILI MCHEZAJI HUYU KUTOKA AZAM F.C

Hii ni taarifa iliyotolewa na club ya Azam kuhusu mchezaji wao kujiunga na Club ya Simba. "Mchezaji kinda na nyota wa Azam FC, Joseph Kimwaga...
473,596FansLike
169,928FollowersFollow
72,146FollowersFollow