Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili Page 2

Video: Aishi Manula amejibu kuhusu kusajiliwa Simba na mkataba wake na Azam

Golikipa wa Azam na Taifa Stars Aishi Manula amesema hajasaini mkataba na timu yoyote kama ambavyo taarifa zinavumishwa kwamba tayari amesha malizana na wekundu...

Yanga wamethibitisha Gadiel Michael amesaini mkataba, Azam wamewapa sharti gani?

Siku za hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari baada ya beki wa kushoto wa klabu...

Kapombe kuhusu Bocco kuondoka Azam na tetesi za kurudi Simba

Kumekuwa na mitazamo tofauti kuhusu kuondoka kwa nahodha na mchezaji wa muda mrefu wa Azam FC John Bocco 'Adebayor' ndani ya kikosi hicho chenye...

Haya ndio maamuzi kisheria ya Kagera Sugar dhidi ya Mbaraka na Azam FC 

Siku mbili baada ya Azam kutangaza kumsajili mshambuliaji Mbaraka Yusuph, uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar alikotokea mchezaji huyo umeibuka na kupinga usajili huo,...

Baada ya tetesi Chirwa anakwenda Simba, Yanga yajibu mapigo

Tayari tetesi zimeanza kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kwamba, mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa huenda akajiunga na...

Jibu la Masoud Djuma kuhusu Yondani kusajiliwa Simba

Kuna tetesi zinazomhusisha beki wa kutumainiwa Yanga Kelvin Yondani muda wowote atajiunga na klabu ya Simba kwa ajili ya kuitumikia kwenye ligi kuu na...

Kwanini Ronaldo anataka kuondoka Madrid, tetesi za Man United haziepukiki

Wiki hii picha ya Cristiano Ronaldo iliyotumika saba kwenye kurasa mbalimbali za vyombo vya habari ni ile inayomuonyesha akiwa kwenye jezi ya timu ya...

Machache ya kufahamu kuhusu beki mpya wa Yanga

Baada tu ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga, beki wa kati Abdallah Haji Shaibu alinaswa katika exclusive interview na Sports Extra...

Wachezaji ghali zaidi wa kihispaniola – Morata kuandika rekodi mpya ya usajili

Kuelekea kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United akitokea Real Madrid, Alvaro Morata ataingia kwenye vitabu vya rekodi vya usajili nchini Hispania kwa kuwa...

Thamani ya Juve yaongezeka kwa €160m zaidi ndani ya siku 3 – CR7 kuwa...

Juventus wameanza kuonja mafanikio ya kuhusishwa na Cristiano Ronaldo tayari, thamani ya klabu imepanda kwa asilimia 22 ndani ya siku 3 - thamani ya...

Hatimaye Ajib, Mkude, wamwaga wino Simba

Na Zainab Rajab Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe unaweza ukasema amecheza kama Pele mara baada ya kukamilisha mipango ya usajili...

Ngasa amerudi nyumbani

Uongozi wa Yanga umethibitisha kumsajili mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Mrisho Ngasa 'Anko' ambaye alikuwa anachezea Ndanda FC katika msimu uliomalizika hivi karibuni. Ngasa...

Mkwasa atajwa chanzo Lwandamina kuondoka Yanga

Kocha George Lwandamina ameshaitema klabu ya Yanga na tayari ZESCO United imeshatangaza rasmi kumsaini kocha huyo ambaye aliisaidia Yanga kushinda taji la ligi kuu...

Tetesi za usajili: Yanga imemalizana na golikipa wa African Lyon

Na Zainabu Rajabu ZIKIWA ni nyakati za usajili kwa kila timu kujiimarisha vizuri katika kujiandaa na msimu mpya ligi kuu, kuna tetesi zinazoendelea chini kwa...

Exclusive: Gadiel Michael amezungumzia tetesi za kuhamia Yanga

Tetesi na mabishano yamezidi kuchukua nafasi kubwa kwenye vijiwe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi mitaani watu wakibishana kuhusu beki wa kushoto wa Azam na...

Abdi Banda! Hakamatiki tena! anatafutwa na mabingwa

Kupitia jarida maarufu la habari ncini Afrika Kusini Soccerladuma limeripoti kuwa mlinzi mahiri wa klabu ya Baroka Fc Abdi Banda a.k.a Abdi "Van Djik"...

Je Lukaku ni usajili sahihi, Sanchez atabaki au ataondoka – maswali 6 yanayohusu timu...

Msimu wa 2017-18 wa Premier League unaanza mwezi mmoja kutoka sasa. Huku dirisha la usajili likizodi kushika kasi na pre season zikiwa zimeanza tuangalie...

Tetesi za usajili: Barthez, Oscar Joshua, safari imeiva Yanga

KIPA mkongwe wa Yanga, Ally Mustapha 'Barthez' na beki wa pembeni wa timu hiyo, Oscar Joshua ni kati ya wachezaji watakaokuwepo kwenye kikosi cha...

Manara ametangaza usajili wa pigo takatifu “itakuwa tishio”

Baada ya klabu ya Simba kukamilisha usajili wa Adam Salamba aliyemaliza mkataba na Lipuli, msemaji wa mabingwa wa VPL Haji Manara amesema usajili utakaofuata...

Tetesi za usajili: Ajibu ana ofa 3 Simba, Yanga, Singida UTD, ataenda wapi?

Ibrahim Ajib ameendelea kuwa gumzo kipindi hiki cha usajili, ametajwa kutaka kuondoka Simba ambao bado wanamtaka pia lakini wanatofautiana na mchezaji huyo katika dau...
473,596FansLike
169,928FollowersFollow
72,146FollowersFollow