Thursday, September 20, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

IT’S A DONE DEAL

Muda mfupi baada ya taarifa kuzagaa kwamba boss wa Spurs Mauricio Pochettino huenda akachukua kibarua cha ukocha kwenye klabu ya Manchester United, tarari kuna...

TOP 5 YA MASTAR WALIOSAJILIWA KWA MBWEMBWE EPL LAKINI WAMESHINDWA KUTAMBA

Memphis Depay (PSV Eindhoven kwenda MANCHESTER UNITED, paundi mil 25) Alianza kwa kasi nzuri lakini amekuwa na wakati mgumu kadri siku zinavyosonga mbele. Amekuwa akishutumiwa kwa...

DILI LA MKATABA WA DE GEA NA MADRID LAVUJA

David De Gea angekuwa akilipwa yuro milioni 11.8 kwa mwaka (paundi milioni 9.1) kwa mwaka endapo angehamia klabu ya Real Madrid, hii ni kutokana na...

Kwanini Mourinho Ndio Mtu Sahihi kwa Man Utd – Baada ya City Kumpata Guardiola 

Wakati tangazo la kumuajiri Pep Guardiola lilipotolewa na Manchester City  hakukuwa na mshangao wowote.  Lakini kwa mashabiki wa Manchester United ilikuja kwa kuwaongezea mawazo juu...

JOSE MOURINHO VS PEP GUARDIOLA PART 2

Na Peter Mabere Baada ya taarifa kutoka wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya habari Duniani kote kuwa Kocha wa zamani wa FC Barcelona Pep Guardiola...

STORY NYINGINE KUHUSU MOURINHO KUTUA OLD TRAFFORD

Habari kuhusiana na Jose Mourinho kujiunga na Manchester United zimeibuka tena wiki hii ambapo baadhi ya vyombo vya habari vya Ureno na Hispania vimekuwa...

KLABU YA CHINA YANASA SAINI YA MBRAZIL ANAYEWANIWA NA LIVERPOOL

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine Mbrazil Alex Teixeira ambaye alikuwa anawindwa na Liverpool katika dirisha dogo la mwezi Januari sasa...

PEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE

Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich...

TETESI: MOURINHO AKARIBIA KUWA MENEJA WA MANCHESTER UNITED

Kuna taarifa zilizozagaa leo katika vyombo vya habari barani Ulaya kuwa kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho anakaribia kukubali na kusaini mkataba wa...

BAADA YA KUFUNGWA DIRISHA DOGO LA USAJILI,HAWA NDIYO WACHEZAJI AMBAO USAJILI WAO UMEBUMA

Wakati dirisha la usajili likiwa limefungwa usiku wa jana huku baadhi ya vilabu vikifanikiwa kufanya usajili dakika za lala salama, kuna baadhi ya madili...

STORY KUBWA