Thursday, September 20, 2018

Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

Manara kavujisha siri ya Lechantre Simba

Tetesi zilianza tangu Simba ikiwa Kenya kwamba kocha mkuu Pierre Lichantre anaondoka na kuna mechi moja alikaa jukwaani huku benchi la ufundi likiongozwa na...

ALVES ANAONDOKA BARCA NA KUACHA ALAMA 16 ZA KUKUMBUKWA

Na Mahmoud Rajab Dani Alves ni moja ya wachezaji waliocheza Bracelona kwa mafanikio makubwa sana. Ameitumikia kwa uaminifu klabu hiyo kwa takriban misimu nane. Alves...

SAMUEL ETO’O AMTEGA PABAYA MARIO BALOTELLI, AKIZINGUA TU ANATUA ANFIELD KUMWAGA WINO!

Anakwenda Merseyside? Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel Eto'o anaweza kujiunga na Liverpool. MCAMEROON, Samuel Eto'o yuko tayari kukamilisha usajili wa ghafla kujiunga na Liverpool. Mario...

SABABU ZA KIMASOMO ZIMECHANGIA KUICHAGUA NDANDA SC, NAWASHUKURU MASHABIKI WA YANGA – TELELA

Na Baraka Mbolembole KIUNGO wa zamani wa Yanga SC, Salum Telela amewashukuru mashabiki wake aliowaacha katika timu hiyo na kusema kuwa sababu za kimasomo ndizo...

LIONEL MESSI, KUFUNGUA AKAUNTI YA MAGOLI KOMBE LA DUNIA?

Na Baraka Mbolembole Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi atakuwa akicheza mchezo wake wa 89 katika timu ya Taifa usiku wa leo wakati, mabingwa mara mbili...

VAN GAAL AMPA ROBIN VAN PERSIE WIKI TATU ZA MAPUMZIKO, ROONEY AKAZIWA!

Mimi na likizo tu! Robin van Persie amepewa wiki tatu za mapumziko baada ya kumalizika kwa kombe la dunia. ROBIN van Persie amepewa likizo ya...

Je Lukaku ni usajili sahihi, Sanchez atabaki au ataondoka – maswali 6 yanayohusu timu...

Msimu wa 2017-18 wa Premier League unaanza mwezi mmoja kutoka sasa. Huku dirisha la usajili likizodi kushika kasi na pre season zikiwa zimeanza tuangalie...

Madili haya ni “Pasua Kichwa”

Makocha na mashabiki wengi huwa wanakosa sana amani wakati wa usajili. Ukisikia mchezaji wako anahitajika na vilabu kama PSG, Real Madrid, Barcelona na Man...

TWEET YA KWANZA YA GUNDOGAN BAADA YA KUJIUNGA NA MANCHESTER CITY

Manchester City wamekamilisha usajili wa kwanza baada ya kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne. Licha ya kutowekwa wazi kwa...

Azam imemnasa golikipa wa Mbao kufukia shimo la Manula

Ni mwendo wa 'toa kitu weka kitu'. Baada ya Aishi Manula kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba, klabu ya Azam imemnasa golikipa...

STORY KUBWA