Tetesi za Usajili

Home Tetesi za Usajili

Kiiza karejea kwenye timu yake ya zamani baada ya ‘kutemana’ na Free State Stars

Mshambuliaji wa zamani wa Simba Hamis Kiiza ‘Diedo’ amejiunga na klabu yake ya zamani ya URA aliyoichezea miaka mitano iliyopita. Pande hizo mbili zimekubaliana kusaini...

Okwi amesajiliwa na klabu ya Uganda

Baada ya kuvunja mkataba na klabu ya SønderjyskE ya nchini Denmark, mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Arnold Okwi amejiunga na SC Villa. Okwi amejiunga...

Audio: Ufafanuzi wa TFF kama Okwi atacheza au hatocheza endapo atasajiliwa Simba

Shirikisho la soka nchini TFF limetoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala la mshambuliaji kutoka nchini Uganda Emmanuel Anord Okwi ambaye anahusishwa na taarifa za...

Ulimwengu amepata dili Ulaya

9 Na Zainabu Rajabu, Dar MSHAMBULIAJI wa Tanzania  Thomas Ulimwengu  amesajiliwa na  timu inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden inaitwa Athletic Football Club Eskilstuna kwa mkataba miaka...

Official: Okwi avunja mkataba na Sonderjyske Fodbold, Kurejea Msimbazi?

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda,  Emmanuel Okwi ameachana rasmi na klabu ya  Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa makubaliano ya pande zote kuamua kusitisha mkataba.  Kwa...

Klabu ya Oman imemnasa striker wa Simba

Habari inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu kuondoka kwa mshambuliaji wa Simba Frederick Blagnon ambaye anaelekea kwenye klabu ya Oman Club...

Mesut Ozil ; “Wenger akiendelea na mimi nabaki”

Wachezaji nyota Mesut Ozil na Alexis Sanchez wamebakiwa na miezi 18 tu hadi mikataba yao ya sasa iishe. Hivyo basi ni salama kwa club...

Kwa Msuva huyu, Azam itatoka?

Yanga vs Azam ndio game inayosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka usiku wa leo kuanzia majira ya saa 2:15 usiku ikiwa ni...

Video: Samatta alivyozipokea taarifa za kuondoka kwa Ndidi

Baada ya kiungo wa KRC Genk Wilfred Ndidi kujiunga na klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya England, Mbwana Samatta ambaye walikuwa wanacheza...

Mino Raiola: Romelu Lukaku ata sign Everton lakini mwakani atasepa

Super agent Mino Raiola ambaye amefanikisha dili kubwa la Paul Pogba amezungumzia kuhusu mteja wake Romelu Lukaku kuhusu kusaini mkataba mpya na club ya...

STORY KUBWA