Home Ligi BUNDESLIGA Bayern yamuaga Bastian “The Midfield Motor”

Bayern yamuaga Bastian “The Midfield Motor”

8311
0
Jana umechezwa mchezo wa kumbukumbu ya

Bastian Schweinsteiger

Bastian Schweinsteiger

Bastian Schweinsteiger jana alifanikiwa kuwaaga Bayern Munich kwenye mchezo wa hisani dhidi ya Chicago Fire ambapo alizichezea timu zote mbili.

Mchezaji huyo mwenye miaka 34 aliichezea Bayern miaka 17 alijiunga nao akiwa na miaka 13, kabla kujiunga na Mashetani Wekundu mwaka 2015.

Aliichezea MLS kipind cha kwanza kabla ya kipindi cha pili kuichezea  Bayern na kufanikiwa kufunga bao la 4 kwa Bayern.

“Mimi ni mmoja wenu na nitabaki kuwa nanyi” aliwaambia mashabiki wa Bayern baada ya mchezo huo.

Taarifa Binafsi

Bastian Schweinsteiger ni Mjerumani kabisa wala hajachanganya kama ilivyo desturi ya wachezaji wengi wa timu ya taifa ya Ujerumani ambao wengi wao sio Wajerumani.

Wasifu
Majina Bastian Schweinsteiger
Kuz 1 Agusti 1984 (34)
Mah Kolbermoor, West Germany
Kimo 1.83 m (6 ft 0 in)[2]
Naf Kiungo

 

2095060

 

Schweinsteiger amekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani tokea nwaka  Septemba 2014.

Taarifa zake za utotoni

bastian schweinsteiger

Bastian Schweinsteiger alizaliwa 1 August 1984 kule Kolbermoor, West Germany. Pia kaka yake Tobias aliwshi kuichezea Bayern Munich.

Soka lake

astian schweinsteiger and wayne rooney during training

Schweinsteiger alianzia akademi ya watoto ya Bayern Munich mwaka 1998. Alishinda taji la watoto la German youth championship mwaka 2002,. Alikuwa akifundishwa na mwalimu Ottmar Hitzfeld na mchezo wake wa kwanza alicheza dhidi ya RC Lens kwenye ‘UEFA Champions League’ mwaka 2002. Schweinsteiger aliifungia Bayern bao lake la kwanza dhidi VfL Wolfsburg kwenye mchezo wa  26 Bundesliga. Schweinsteiger alifanikiwa kufunga bao lake la Bundesliga msimu wa 2008–09.

manchester united v swansea city

Bastian Schweinsteiger alicheza mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Hungary mwaka 2004. Kwenye michuano ya kombe la dunia 2006 alojizolea unaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake. Akiwa na umri wa miaka 22 aliichezea Ujerumani michezo 41.

# Kunzia  M  G
Germany
7 Jun 6, 2004 121 24
Germany
13 Feb 17, 2004 8 3
Germany
7 Aug 29, 2002 7 2
Germany
7 Jul 31, 2001 11 2
Germany
7 1

Schweinsteiger pia alifanikiwa kuitea kwenye kombe la dunia mwaka 2010. Lwemye mchezo wa robo fainali dhidi ya Argentina aliteuliwa kuwa mchezaji bora wa mechi.  Schweinsteiger aliingia kwenye orodha ya 10 wachezani bora wa kombe la dunia “Golden Ball”, Na alitajwa kuwa mchezaji mfano wa kuigwa katika michuano hiyo

bastian schweinsteiger of 014

Bastian Schweinsteiger alikuwa mmoja ya wachezaji muhimu wa  Bayern kwenye ushindi wa Bundesliga msimu wa 2013.  Schweinsteiger aliisdaidia kutwa Bundasliga, DFB Pokal pamoja na klabu bingwa ya ulaya na kuweza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ujerumani.

DATA ZAKE 2013
Mashindao  M   G  A  Y  YR  R  D
Jumla 2013: 45 9 11 10 3.672′
28 7 5 4 2.358′
12 2 4 4 939′
5 2 2 375′
1.Bundesliga

Schweinsteiger aliisaidia Ujerumani katika michuano Euro 2012. Alicheza zaidi nafasi ya kiungo mkabaji ‘defensive midfielder’, Schweinsteiger akaisaidia kushinda michezo 10.

alex ferguson, bastian schweinsteiger

Schweinsteiger alisajiliwa na Manchester United mwaka 2015.

 DATA 2016
Mashindano  A  YR  R  D
Total 2016: 31 1 2 5 1.937′
18 1 1 3 1.201′
6 1 423′
2 1 88′
2 1 31′
2 104′
1 90′

Alicheza mchezo wake wa kwanza dhidi yaTottenham Hotspur, huku Manchester United wakipata ushindi. Schweinsteiger alicheza kwa dakika 90 mchezo uliofuata dhidi ya Leicester City.

Schweinsteiger’ amekuwa akijulikana kama “Midfield Motor” kutokana na uwezo wa mkubwa uwanja hasa akicheza kama kiongozi pamoja na nidhamu ambapo alifanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ujeruma ‘best German player’  2013, Schweinsteiger wajerumani pia walikuwa wakimwita “midfield mastermind”.

Maisha binafsi

sarah and bastian

Schweinsteiger ana jina la utani lijukikanalo kama “Schweini” au “Basti”. Alikuwa na mahusiano na mwanamitindo Sarah Brandner kwa miaka 7 kabla ya kufunga ndoa na Ana Ivanovic, kutoka Serbia ambaye pia ni mchezaji wa Tenisi.

Bastian Schweinsteiger pia ni bingwa wa Kombe la dunia mwaka 2014 kule Brazil. Anakumbukwa vyema alipocheza fainali hizo akiwa anatokwa damu usoni.

Bastian Schweinsteiger

Kwa sasa yupo Major League Soccer ya nchini Marekani ndani ya klabu ya Chicago fire
Chicago Fire
MAFANIKIO NA MAKOMBE
1X KOMBE LA DUNIA
World Cup winner
2014 Germany Germany
1X UBINGWA WA KLABU BINGWA UEFA
Champions League winner
12/13 Bayern Munich Bayern Munich
1X FA CUP
English FA Cup winner
2016 Manchester United Manchester United
1X KOMBE LA LIGI
English League Cup winner
2017 Manchester United Manchester United
8X NGAO YA HISANI
German Champion
14/15 Bayern Munich Bayern Munich
13/14 Bayern Munich Bayern Munich
12/13 Bayern Munich Bayern Munich
09/10 Bayern Munich Bayern Munich
07/08 Bayern Munich Bayern Munich
05/06 Bayern Munich Bayern Munich
04/05 Bayern Munich Bayern Munich
02/03 Bayern Munich Bayern Munich
7X KOMBE LA LIGI
German cup winner
13/14 Bayern Munich Bayern Munich
12/13 Bayern Munich Bayern Munich
09/10 Bayern Munich Bayern Munich
07/08 Bayern Munich Bayern Munich
05/06 Bayern Munich Bayern Munich
04/05 Bayern Munich Bayern Munich
02/03 Bayern Munich Bayern Munich
1X KOMBE LA DUNIA LA VILABU
FIFA Club World Cup winner
2014 Bayern Munich Bayern Munich
1X KOMBE LA YUROPA
Europa League winner
16/17 Manchester United Manchester United
1X GERMAN U-19 BUNDESLIGA CHAMPION
German Under-19 Bundesliga champion
01/02 FC Bayern Munich U19 FC Bayern Munich U19
1X GERMAN U-17 BUNDESLIGA CHAMPION
German Under-17 Bundesliga champion
00/01 FC Bayern Munich U17 FC Bayern Munich U17
2X GERMAN LEAGUE CUP WINNER
German League Cup winner
2009 Bayern Munich Bayern Munich
2008 Bayern Munich Bayern Munich
1X UEFA SUPERCUP 
Uefa Supercup winner
13/14 Bayern Munich Bayern Munich
2X GERMAN SUPER CUP
German Super Cup winner
12/13 Bayern Munich Bayern Munich
10/11 Bayern Munich Bayern Munich
1X MCHEZAJI BORA WA MWAKA
Footballer of the Year
2013 Germany
imeandaliwa na Privaldinho (Instagram)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here