Home Kimataifa As Roma yaendeleza uteja kwa Ac Milan

As Roma yaendeleza uteja kwa Ac Milan

7407
0
Klabu ya AC Milan imefanikiwa kuifunga klabu ya Roma mabao 2-1 bao la usiku la Cutrone likawapa Rossoneri alama tatu muhimu.
AS Roma wamefanikiwa kushinda  27% ya mechibzote walizocheza dhdi ya AC Milan ndani ya Serie A (44 kati ya 166): ushindi wao kiduchu Juventus (23%).
AC Milan wamiefunga As Roma mara 73 kwenye mechibzote za Serie A rekodi kubwa zaidi kuliko timu nyingine yeyote kuwahi kuifunga.


Milan vs Roma mechi 10 zilizopita

M N Vs U
2018-08-31 Serie A Milan 2-1 Roma  W
2017-10-01 Serie A Milan 0-0 Roma  D
2016-12-12 Serie A Roma 1-0 Milan  L
2016-05-14 Serie A Milan 1-3 Roma  L
2016-01-09 Serie A Roma 1-1 Milan D
2015-05-09 Serie A Milan 2-1 Roma W
2014-12-20 Serie A Roma 0-0 Milan D
2014-04-25 Serie A Roma 2-0 Milan L
2013-12-16 Serie A Milan 2-2 Roma D
2013-05-12 Serie A Milan 0-0 Roma
Hata hivyo AC Milan ilipoteza mechi zao 4 kati ya 5 za mwisho kukutana na AS Roma.
AS Roma wana rekodi ya kutokupoteza michezo yao 6 waliocheza siku ya ijumaa dhidi ya vilabu vikubwa ispokuwa mchezo wa wa jana waliopigwa. Mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa April 2014 walipowatwanga Milan 2-0.
AC Milan walipoteza mchezo mmoja tu nyumbani tokea mwaka  2018 uanze  (dhidi Benevento), na AS Roma walikuwa na rekodi ya kutokufungwa michezo 12 tokea mwaka uanze (W8 D4).

Patrick Cutrone aliingia dakika za mwisho na kuipatia AC Milan bao la kuongoza dhidi ya Roma.

Franck Kessie aliwapa Milan aliwapatia bao la mapema kabla ya  Federico Fazio kusawazisha.

Milan chini ya fowadi wao hatari Gonzalo Higuain na ingizo jipya kwa Roma kiungo Steven Nzonzi mabao yao wote wawili yakataliwa na VAR.

Takwimu za mchezo

Kumiliki mpira: Milan 51%  Roma 49%


Mashuti
Milan 26 Roma 6


Mashuti yaliyolenga
Milan 10 Roma 2

Kona
Milan 8 Roma 3


Faulo
Milan 8 Roma 7

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here