Home Ligi BUNDESLIGA HUYU NDIYE HOTTEST STRIKER NDANI YA ULAYA KWA SASA

HUYU NDIYE HOTTEST STRIKER NDANI YA ULAYA KWA SASA

880
0


adasd

Achana na Ronaldo, Messi, Neymar au wengine wanaopewa jina na media bila ya performance zao uwanjani (Rooney), tukibaki kwenye number Pierre-Emerick Aubameyang ndiye hottest striker kwa sasa kwenye bara la Ulaya.

Mchezaji huyu wa Borussia Dortmund ameshatupia nyavuni mara 17 kwenye mechi 14 ambapo hadi sasa yupo nyuma ya rekodi ya mkongwe Gerd Muller ambae alitupia maea 19 kwenye mechi 14 mwaka 1976-77.

Sasa hizi hapa ni takwimu jinsi gani huyu jamaa amecheka vipi na nyavu msimu huu ndani ya mechi 14 za ligi ya Bundesliga. Kwa kutumia kichwa amefunga mara moja, kwa kutumia mguu wa kulia ametupia mara 12 na kwa kutumia mguu wa kushoto ametupia mara 4.

Uwanjani ametumia dakika 1226, amepiga mashuti on target mara 55. Amefunga magoli 17 kwa kupata pasi 11, crosses 2, set pieces 3 na nyingine 1. Huyu ndiye Aubamayeng hottest striker kwa sasa barani Ulaya.

2EF5617400000578-0-image-a-2_1448984594195

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here