Home Kimataifa Habari mbalimbali Ulaya: Nyota wa Barcelona nje wiki, Orodha ya wachezaji bora...

Habari mbalimbali Ulaya: Nyota wa Barcelona nje wiki, Orodha ya wachezaji bora wa FIFA

9276
0
SHARE

Hao hapo juu ni orodha ya makipa bora wa fifa wa mwaka.

Hugo Loris-Ufaransa

Thibaut Courtois-Ubelgiji

Casper Schmeichel-Denmark

Luka Modric, Mohamed Salah na Cristiano Ronaldo.

Baada ya kuwania tuzo ya mchezaji bora wa UEFA 2017/2018, Luka Modric, Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah wameingia tena kwenye kinyang’anyiro cha kuwania mchezaji bora wa FIFA 2017/2018.

Tuzo ya pili mfululizo ambayo nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amekosekana .

Mshindi wa tuzo hiyo atatangazwa tarehe 24 Septemba 2018.

Tuzo ya Mashabiki bora.

Sebastián Carrera (CD Puerto Montt), mashabiki wa Timu ya Taifa ya Japan na Senegal na mashabiki wa timu ya taifa ya Peru ndio wateule wanaowania tuzo ya mashabiki bora wa mwaka wa FIFA 2017/2018.

Malcom nje wiki moja.

Barcelona wameripoti kwamba, mshambuliaji Malcom Filipe Silva, amepata jeraha la kifundo cha mguu.

Malcom, amepata jeraha hilo kwenye mguu wake wa kulia, akiwa kwenye mazoezi.

Tuzo ya Fifa Puscas award.

Orodha ya wachezaji 10 yameteuliwa kugombania tuzo ya goli bora la mwaka la FIFA 2017/2018 , maarufu kwa jina la Tuzo ya Puskas.

Gareth Bale (Real Madrid)
Denis Cheryshev (Russia)
Lazaros Christodoulopoulos (AEK Athens)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Giorgian de Arrascaeta (Cruzeiro)
Riley McGree (Newcastle Jets)
Lionel Messi (Argentina)
Benjamin Pavard (France)
Ricardo Quaresma (Portugal)
Mohamed Salah (Liverpool)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here