Home Dauda TV Mkuu wa Mkoa Mwanza amekubali: “Simba hii inatisha”

Mkuu wa Mkoa Mwanza amekubali: “Simba hii inatisha”

9495
0
SHARE

Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii Simba vs Mtibwa Sugar, Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella amesema Simba inatisha lakini anaamini Mtibwa wamejipanga vizuri.

Mh. Mongela amesema kibongo-bongo Mwanza ndio kitovu cha michezo kwa hiyo wakazi wa Rock City na mikoa ya jirani (Geita, Shinyanga, Kagera) wataujaza uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mechi hiyo.

Watu wangu hebu nipeni utabiri wenu ni wazee wa sukari au mnyama anashinda Ngao ya Jamii?
#JumamosiTukutaneKirumba

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here