Home Dauda TV Mashabiki Yanga wamfanyia vurugu Tundaman Morogoro

Mashabiki Yanga wamfanyia vurugu Tundaman Morogoro

12918
0
SHARE

Walipo Yanga, Simba hawakosekani. Msanii wa BongoFleva Tundaman licha ya usimba wake, amesafiri toka Dar hadi Morogoro kuja kushuhudia tukio kubwa la kuagwa kwa Gwiji wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’.

Alipata tabu sanaa wakati akifanyiwa interview na Dauda TV kwa sababu shabiki wa Yanga walikuwa wanamvalisha scarf za Yanga kwa lazima wakati yeye hakutaka jambo hilo litokee.

Cannavaro anaheshimiwa na wadau wote wa soka bila kujali timu wanazozishabikia, hii ni kutokana na maisha yake ya ndani na nje ya uwanja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here