Home Dauda TV Mama Yanga afunguka mapenzi yake kwa Cannavaro

Mama Yanga afunguka mapenzi yake kwa Cannavaro

10820
0
SHARE
Moja ya picha inashoonesha Mama Yanga akisaidiwa kupandishwa kwenye gari la kubebea wagonjwa mara baada ya kupoteza fahamu baada ya timu yake kuruhusu bao kwenye moja ya mechi za ligi Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prisons uwanja wa Sokoine, Mbeya

Kama ni mdau wa soka la Bongo, basi bila shaka utakuwa unamfahamu shabiki kindakindaki wa Yanga maarufu kama ‘Mama Yanga’.

Wakati Cannavaro anaagwa uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa mchezo maalum wa kirafiki Mawenzi Market vs Yanga, Mama Yanga alizungumza machache jinsi atakavyomkumbuka nahodha huyo ambaye kwa sasa amepewa majukumu ya umeneja wa timu hiyo.

Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Mama Yanga huwa ana ‘zima’ wakati mwingine hata Yanga wakifunga goli? Maana tumezoea kuona mashabiki wakizimia baada ya timu zao kufungwa, Mama Yanga ‘Bonge la Mtu’ amefunguka kupitia Dauda TV.

Angalia full interview Mama Yanga alivyomchambua Nadir Haroub Cannavaro.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here