Home Tetesi za Usajili Chelsea yamnasa kiungo wa Madrid, Sanchez anena

Chelsea yamnasa kiungo wa Madrid, Sanchez anena

14169
0
SHARE

Ni miaka 37 imepita tokea Roger Federer azaliwe

๐ŸŽพ 1,415 Michezo
โœ… 1,161 ushindi

98 Vikombe

๐Ÿ†๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 8x @Wimbledon
๐Ÿ†๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ 6x @AustralianOpen
๐Ÿ†๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 5x @USOpen
๐Ÿ†๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 1x @RolandGarros
๐Ÿฅ‡๐ŸŒ 1x @Olympics

Siku kama ya leo mwaka 2011 Alex Oxlade-Chamberlain, alijiunga na klabu ya Arsenal, kwa ada ya uhamisho wa paundi million 12.
Michezo 198
Magoli 28
Makombe ya FA 3.

Kocha mpya wa Chelsea Maurizio Sarri, ameonya kwamba huenda ikachukua mpaka miezi mitatu kwa kikosi cha Chelsea kucheza katika ubora wake.

Muitaliano huyo anaamini kwamba, kushindwa kufanya kazi na baadhi ya wachezaji ambao walihusika katika fainali za kombe la Dunia ndio kumechangia kuvuruga mipango yake.

โ€œNina furaha sana kwa mara ya kwanza hapo kesho (Leo Jumatano ) ndio nitafanya kazi na wachezaji wangu wote”

โ€œ Kwa miezi miwili au mitatu ndio tunaweza kuwa timu nzuri , inabidi tusubiri .โ€

Kiungo wa klabu ya Real Madrid, Mateo Kovacic, amewasili London, kwa ajili ya kufanyiwa vipimo na kujiunga na klabu ya Chelsea, kujiunga kwa mkopo.

Monaco imeuza wachezaji wafuatao kwa kipindi cha miaka

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Mbappรฉ: โ‚ฌ180m

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Lemar: โ‚ฌ70m

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Mendy: โ‚ฌ57.5m

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Bernardo: โ‚ฌ50m

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Fabinho: โ‚ฌ50m

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Bakayoko: โ‚ฌ45m

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Kongolo: โ‚ฌ19.6m

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Ghezzal: โ‚ฌ14m

๐Ÿ’ฐ Jumla: โ‚ฌ486.1m

Biashara ๐Ÿ”ฅ

Winga wa Manchester United, Alexis Sanchez aitaka Man united kusajili wachezaji wakubwa na wenye uzoefu
Sanchez, “Amesisitiza kwamba Manchester United wanatakiwa wasaini wachezaji wenye kiwango kama cha Arturo Vidal.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here