Home Ligi EPL Hatma ya Mahrez kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani Man City Vs...

Hatma ya Mahrez kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani Man City Vs Chelsea

10370
0
SHARE

Riyadh Mahrez amejiunga Man City hivi karibuni katika dirisha kubwa la usajili akitokea Leicester

Mahrez alipata majeraha kipindi cha kwa akiwa na klabu yake mpya ya Man City kwenye ushindi wa mabao 3-2 katika michuano International Champions Cup dhidi ya Bayern Munich.

Riyad Mahrez aliumia enka/kifundo cha mguu lakini taafifa kutoka Manchester City zinasema kuwa wiki ijayo atarudi mazoezini. Anatarajiwa kucheza mchezo wa mwisho wa mandaalizi katika tua yao nchini Marekani

Alionekana akiwa maevalia viatu vya wachezaji wenye shida ya miguu katika uwanja wa ndege wa Manchester Airport ikiwa ni moja ya safari ya maandalizi ya ngao ya hisani (Community Shield) dhidi ya Chelsea.

City wamewaondoa hofu mashabiki wake kuwa jeraha lake halikuwa kubwa kiasi hicho.

Daktari wao amese.a “Riyad Mahrez yupo na anaendelea vizuri bila shaka yoyote atarudi hivi karibuni”

Hii ni yaarifa njema kwa mkufunzi Pep Guardiola ambaye amekuwa na shida ya upungufu wa wachezaji kutokana naa. Wachezani wengi kuchelewa kurudi kambini hasa hasa wale walioshiriki kombe la dunia

Mahrez aliigharimu City’ kiasi cha £60m . Hivyo atakumbana na Chelsea kwenye uwanja wa Wembley on Sunday.

Mechi za Mwisho za Chelsea dhidi ya Man City kwa kipindi cha miaka 10

05 Apr 2008 Man City v Chelsea 0-2 EPL
13 Sep 2008 Man City v Chelsea 1-3 EPL
15 Mar 2009 Chelsea v Man City 1-0 EPL
05 Dec 2009 Man City v Chelsea 2-1 EPL
27 Feb 2010 Chelsea v Man City 2-4 EPL
25 Sep 2010 Man City v Chelsea 1-0 EPL
20 Mar 2011 Chelsea v Man City 2-0 EPL
12 Dec 2011 Chelsea v Man City 2-1 EPL
21 Mar 2012 Man City v Chelsea 2-1 EPL
12 Aug 2012 Chelsea v Man City 2-3 C. Shield
25 Nov 2012 Chelsea v Man City 0-0 EPL
24 Feb 2013 Man City v Chelsea 2-0 EPL
14 Apr 2013 Chelsea v Man City 1-2 FA
27 Oct 2013 Chelsea v Man City 2-1 EPL
03 Feb 2014 Man City v Chelsea 0-1 EPL
15 Feb 2014 Man City v Chelsea 2-0 FA
21 Sep 2014 Man City v Chelsea 1-1 EPL
31 Jan 2015 Chelsea v Man City 1-1 EPL
16 Aug 2015 Man City v Chelsea 3-0 EPL
21 Feb 2016 Chelsea v Man City 5-1 FA
16 Apr 2016 Chelsea v Man City 0-3 EPL
03 Dec 2016 Man City v Chelsea 1-3 EPL
05 Apr 2017 Chelsea v Man City 2-1 EPL
30 Sep 2017 Chelsea v Man City 0-1 EPL
04 Mar 2018 Man City v Chelsea 1-0 EPL

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here