Home breaking news Habari zilizoshika hatamu siku nzima ya leo

Habari zilizoshika hatamu siku nzima ya leo

10329
0
SHARE

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Everton, Wayne Rooney amefunga goli lake la kwanza akiwa na Klabu ya yake mpya ya Dc United, katika ushindi dhidi wa 2-1 dhidi ya Colorado rapids. Katika mechi hiyo, Rooney alivunjika pua, akijaribu kuzuia

Klabu ya Juventus, inaamini kwamba kiungo wa Manchester United Paul Pogba, ameweka wazi kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya Juventus ya Italia, na wanataka kuuza mshambuliaji Gonzalo Higuain, mwenye miaka 30, kiungo Miralen Pjanic, mwenye miaka 28, pamoja na mlinzi Daniele Lugani, mwenye miaka 24, na Mattia Caldara, mwenye umri wa miaka 24 ili kupata fedha za kumnunua Paul Pogba mwenye umri wa miaka 25 (Sunday mirror)

Manchester United wana mpango wa kutoa euro million 35 kwa mlinzi wa Barcelona na timu ya taifa ya Colombia Yeri Mina, mwenye umri wa miaka 23

Kocha wa Burnley Sean Dyche, anataka kumsajili mshambuliaji wa Stoke city Peter Crouch

Everton wamekubali kulipa ada ya euro million 35 kwa beki wa kushoto wa Barcelona Lucas Digne mwenye umri wa miaka 25

Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge, mwenye umri wa miaka 28, ambaye alikuwa kwa mkopo katika klabu ya Westbrom Msimu uliopita, na Sturridge anataka kuendelea kubaki Liverpool, na mpenzi wake amesisitiza Sturridge bado anaipenda klabu hiyo ya Liverpool

Kocha wa Arsenal Unai Emery anajiandaa kumpatia unahodha kiungo Mesutu Ozil mara nyingi zaidi baada ya kuiongoza Arsenal kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Paris Saint German

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here