Home Kitaifa Yanga mkao wa kula Kenya

Yanga mkao wa kula Kenya

9641
0
SHARE

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ngazi ya vilabu Yanga kesho wanatarajia kukiwasha dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kombe la shirikisho Afrika.

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema kila kitu kimekamilika na wamejipanga vyema dhidi ya wapinzani wao.

“Tumefanya mazoezi usiku (saa 1 usiku) kwa sababu mechi itakuwa saa 1:00 jioni kwenye uwanjannkubwa wa Kasarani hapa Nairobi”-Hafidh Saleh.

“Hali ya wachezaji wote iko vizuri hakuna majeruhi yoyote, kuna kibaridi kidogo lakini hakiathiri hali ya wachezaji kimchezo.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here