Home Kimataifa Picha: Huko Croatia usipime jinsi timu ilivyopokelewa

Picha: Huko Croatia usipime jinsi timu ilivyopokelewa

9960
0
SHARE

Croatia wamerudi nyumbani hii leo baada ya kuushangaza ulimwengu kwa namna walivyopenya hadi fainali huku vigogo wengi wakiangula katika kombe la dunia.

Pamoja na kufungwa katika mchezo wa nusu fainali kwa bao 4-2 lakini hiyo haikuzuia wao kupokea kifalme wakato wanarejea nchini kwao hii leo na inasemekana zaidi ya 5% ya wananchi walikuwa jijini Zagreb kuwapokea. 

Kwa namna ambavyo watu walikuwa wengi, baadhi ya wananchi walilazimika kupanda juu ya mito na kuchungulia kutoka madirishani.

Huyu hapa ni Mario Mandzukic akisaini kofia la askari polisi ambaye hii leo alikuwep wakati Croatia wakiwasili nchini kwao.

Hadi jioni watu walikuwa bado wako mtaani kuishangilia timu yao huku fataki zikipigwa kama heshima kwa nyota wao.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here