Home Ligi LA LIGA Pumzi ya Barcelona kwenye mapafu ya Hazard na Alcantara

Pumzi ya Barcelona kwenye mapafu ya Hazard na Alcantara

11086
1
SHARE

Kuna tofauti kubwa ya usajili na makelele ya Mitandaoni na majarida ya wanaochumia tumbo.

Kuzaliwa Jan 7, 1991 (27), Kimo: 1,73 m

Mkataba: 30.06.2020

Eden Hazard
Thamaini
Takwimu

Kiungo

89%
Mashindano Mechi G A Y Y&R R dkk
Jumla 495 139 128 26 1 36.910′
208 69 46 13 16.542′
147 36 41 8 10.277′
44 8 13 2 3.468′
23 3 6 1 1.490′
21 5 9 1 1.436′
20 5 6 1 1 1.193′
13 6 2 1.047′
6 3 2 493′
5 2 1 272′
2 1 176′
2 1 202′
2 160′
1 1 1 80′
1 774′

Hazard hapaswi kuogopa kucheza na Messi eti kisa atacheza chini ya kivuli chake. Hapana. Hizo ni siasa za kijinga zilizomponza Neymar. Neymar alihitaji mkwanja mrefu wala hakuondoka Barcelona eti kisa yupo chini ya kivuli cha Messi.

Aliyemdanganya Neymar kwamba anaweza kushindana na Messi ni nani? Kabla hujawaza kumzidi Messi fikiria kwanza kuhusu Ribery kumshindwa Ronaldo. Ina maana Neymar anataka kutufanya wazembe wa kufikiria kiasi hiki? Yaani Iniesta na Sneijder walishindwa kabisa kumtoa Messi kwenye kinyang’amyiro cha BDO ndio aje kuwa yeye!

Hata hivyo huyo Hazard hata kama ataenda Madrid hawezi kumzidi Messi au kushindana nae.

Kama dili la Hazard litakwama nawasilisha hoja kwamba Willian pia atawafaa

P KU Dkk G A K S YC RC

Willian

36 20 1883 6 7 25 54 2 0
Dembele 17 12 930 3 6 10 21 2 0

P-Mechi, KU-Mechi alizoanza, G-Goli, A-Asisti, K-Kulenga golini, S-Idadi ya mashuti, Y-Njano, R-Nyekundu

Ukitaka kujua Dembele ni aina ya akina Zaha, hakuna timu ambayo inaweza kutoa zaidi ya Euro Mil 120 kumtaka Dembele kwa sasa. Kuna mambo mawili ya kufanya hapa. Aidha wafanyr mazungumzo na Bayern wamwachie Dembele na fedha kidogo ili wamnase Thiago. Bayern inahitaji mawinga. Roben na Ribery umri umeenda kidogo wanaweza kusikiliza hili dili. Au wakae chini na Chelsea wajua watasaidana vipi kwenye suala la Wilian.

Chelsea wanaweza kulipa fadhila kwani wao Barcelona waliwapa Pedro na Fabregas. Ni namna tu ya kuwabembeleza. Willian anampenda sana Ronaldinho lakini anamheshimu Messi na aliwahi kuweka wazi hilo.

Dybala na Griezmann mhh sidhani kama wanaweza kupatikana. Griezmann kaongeza mkataba na Dybala na Messi sidhani kama wana mahusiano Mazuri. Tumeona timu ya taifa Dybala kasuswa kabisa. Kama Messi angekuwa na maelewano mazuri sidhani kama amhekubaliana na uamuzi wa mwalimu kumweka benchi.

Nimeshangaa sana Barcelona kukaa kimya dili la Jack Wilishere na Riyadh Mahrez. hawa ni wachezaji waliokuwa wanawafaa kabisa Barcelona. Hata Juan Mata ni moja ya wachezaji wepesi sana na wenye aina ya uchezaji kama wa Barcelona.

P KU Dkk G A K S YC RC

Willshere

20 12 1187 1 3 5 15 6 0

Mahrez

36 34 2090 12 10 36 73 2 0

Rakitic

35 31 2860 1 5 11 28 4 0

Yaan Rakitic kamzidi Wilshere michezo 15 lakini ana bao moja sawa na Wilshere na kumzidi asisti mbili tu. Tena akiwa Barcelona wakati mwenzake yupo Arsenal. Hii ndio sababu kubwa ya mimi kuamini kwamba Rakitic ameshindwa kuvaa viatu vya Xavi. Ericksen angewafaa lakini sidhani Tottenham watamwachia.

Wanahitaji usajili usajili wa watu wawili tu sasa

Rakitic=Willian/Hazard

Dembele=Thiago

Makala na Privaldinho (Instagram)

Comments

comments

1 COMMENT

Leave a Reply to swalha Cancel reply

Please enter your comment!
Please enter your name here