Home Kitaifa Simba yavuta mkongo

Simba yavuta mkongo

8777
0
SHARE

Kiungo wa Rayon Sports ya Rwanda Kakule Mugheni Fabrice (mwenye jezi ya Simba) ameanza mazoezi pamoja na kikosi cha Wekundu wa Msimbazi.

Kiungo huyo anatarajia kusaini mkataba wakati wowote kuitumikia Simba. Masoud Djuma amewahi kumfundisha Kakule wakati akiwa kocha wa Rayon Sports kabla ya kuhamia Simba msimu uliopita. Inaelezwa Masoud ndiye aliyeshauri Kakule asajiliwe Simba.

Ujio wa Kakule unaingeza idadi ya wachezaji kwenye idara ya kiungo ambayo imekuwa na wachezaji wengi kiasi wengine hawapati nafasi ya kutosha kwenye kikosi cha kwanza.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here