Home World Cup RUS 2018: Delph amwagia Kompany sifa kedekede

RUS 2018: Delph amwagia Kompany sifa kedekede

5947
0
SHARE

Utu wa mtu haupimwi kwa utaifa wake wala rangi yake. Fabian Delph amemshukuru sana Vincent Kompany kwa kumsaidia gharama za usafiri kwa njia ya ndege ili kwenda kumjulia hali mke wake aliyekuwa amejifungua.

Fabian Delph alipata mtoto wa kiume wakati timu yake ya taifa ikiwa nchini Urusi.

Delph aloruhusiwa kuondoka kwenye kambi ya timu yake ya taifa ili kwenda muonana na mkewe baada ya mchezo wao dhidi ya Ubelgiji.

Delph alifanikiwa kuingia dakika kadhaa kwenye mchezo wao dhidi ya Sweden

“Vincent Kompany na familia yake walikuja kuisshabikia Belgium. Mimi na Kompany ni marafiki wakubwa. Kisha Walinikaribisha kwenye ndege yao binafsi na wakakubali kunipeleka hadi London,” alisema Delph. “kwemye mdege nilikiwepo mimi, watoto wake pamoja na mkewe”

“Walikuwa wametoka kutufunga, na sikuweza hata kuongea nae kutokana na lugha. Niliporudi nilirudi mwenyewe kwenye ndege kwa gharama zao. Napenda kuwashukuru sana FA kwa ukarimu wao wa kuniruhusu kwenda kuiona familia yangu.”

“Wakati mchezo unaendelea ndipo alipopatwa na uchungu, alipelekwa hospitali, nilipopata taarifa nikaauomba uongozi kumuona mke wangu. Nawashukuru wachezaji wote kwa jumbe zao za kunitia moyo.

“Kiukweli ilikuwa moja ya siku za furaha kubwa sana katika maisha yangu. Mwalimu alinipa siku kadhaa kabla ya kurudi kambini. Mwalimu alinishangaza sana baada ya kunipa dakika kadhaa za kucheza. Ile ilikuwa kama zwadi kubwa sana kwangu kwani sikiwa fiti kucheza lakini mwalimu akaniambia ingia dakika kadhaa ili uwezo kutimiza furaha yako zaidi.”

Kocha Gareth Southgate ndiye mtu wa kwanza kumfuata Delph na kupa taarifa na alimweleza anapaswa kwenda kumuona mkewe bila wasiwasi. Kisha alimpa mkono wa kila kheri.

“Tulikiwa tunazunguka na vibaiskeli wawili wawili, wala sikuwa na taarifa zozote. Ghafla nikapewa taarifa. Niliruka sana kama chizi. Sikuwahi kutegemea kwamba kocha angeweza kunipa siku 4 za mapumziko.

“nipokwenda nyumbani hata wale ambao hawajui mpira alikuwa wakinipigia makelele wakiniambia hakikisha unaleta kombe nyumbani umleteewanao. Inatia moyo kwakweli

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here