Home Kitaifa DoneDeal: Simba imemsajili golikipa wa zamani Yanga

DoneDeal: Simba imemsajili golikipa wa zamani Yanga

10725
0
SHARE

Golikipa wa zamani wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.

Baada ya msimu wa 2016/17 kumalizika Dida alienda South Afrika kujiunga na University of Pretoria Football Club ambako amekaa kwa msimu mmoja kabla ya kusajiliwa Simba.

Dida amerejea tena Simba, aliwahi kuwa kwenye kikosi cha Msimbazi enzi za akina Juma Kaseja na Ally Mustapha ‘Barthez’ lakini baadaye akaondoka kwenda Azam na Yanga ambako alipata mafanikio makubwa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here