Home Dauda TV Video-Wawa alivyokichafua mazoezi ya Simba

Video-Wawa alivyokichafua mazoezi ya Simba

10390
0
SHARE

Pascal Wawa huyu hapa mazoezini na klabu ya Simba, pamoja na ugeni wake lakini anaonekana kama si tu mlinzi ndani ya Simba ila anaonekana kuwa kiongozi kwani kila wakati alikuwa akiwapa maelekezo wachezaji vijana.

Ukitaka kuona full video Wawa alivyokuwa akipasha na wenzake play video hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here