Home Dauda TV Ally Mayay, Mendieta, Mmachinga, wanavyoiona nafasi ya Nigeria vs Argentina

Ally Mayay, Mendieta, Mmachinga, wanavyoiona nafasi ya Nigeria vs Argentina

8719
0
SHARE

Mwaka 1994 ilikuwa mara ya mwisho kwa Argentina kupoteza michezo miwili mfululizo ya kombe la Dunia(vs Bulgaria & vs Romania) lakini 1998 ikawa mara ya mwisho kwa Nigeria kushinda mechi mbili mfululizo za kombe la dunia(walimpiga Hispania wakaja wakampiga Bulgaria).

Leo wanakutana huku Argentina akiwa ametoka kuchezea kichapo toka kwa Crotia, na Nigeria akitoka kumpiga Iceland.

Rekodi ya Wanigeria mbele ya Argentina katika kombe la dunia haivutii, katika michuano minne ya kombe la dunia iliyopita walipokutana Nigeria alifungwa mechi zote na kwa tofauti ya bao 1(1-0 mwaka 2002 na 2010, wakapigwa 2-1 mwaka 1994 na wakafa 3-2 mwaka 2014).

Lakini nini nafasi ya Nigeria waliobeba matumaini ya Waafrika wengi katika mechi ya leo, magwiji wa Yanga Ally Mayay Tembele (mchambuzi), Waziri Mahadh ‘Mendieta’ (kocha) na Mohamed Hussein ‘Mmachinga’ (kocha) wana mawazo yao kuhusu mechi hii, video iko You Tube channel yetu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here