Home Kimataifa Kombe la dunia LIVE popote ulipo kutoka Dstv

Kombe la dunia LIVE popote ulipo kutoka Dstv

10144
0
SHARE

Huku michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 ikizidi kupamba moto huko nchini Russia, swali ni moja tu,

Je, unafahamu kuwa unaweza kushuhudia mechi zote 64 za FIFA Kombe La Dunia 2018 LIVE Popote ulipo?

Hivi sasa ukipakua App ya “DStv Now”, utaweza kuangalia michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 kwa njia ya simu ya kmkononi ukiwa mahali popote wakati wowote bila ya gharama za ziada. Unaweza kutumia hadi vifaa vitano (5) tofauti ambavyo vyote huunganishwa na dikoda yako hivyo kuwawezesha wanafamilia kutazama vipindi tofauti wakiwa mahala popote kwa kutumia simu zao za mkononi, Tablet, Laptop au Desktop bila ya gharama ya ziada.

Usikubali kuhadithiwa …. Pakua sasa App ya “DStv Now” kwenye Android au Iphone, Burudika na FIFA Kombe la Dunia 2018 mahali Popote wakati wowote kupitia huduma hii ya DStv bila gharama ya ziada ya malipo ya mwezi.

Huduma hii inapatikana Kwa wateja wote wa DStv kuanzia kifurushi cha Bomba kwa sh.19, 000/- tu!

Na kama bado hujajiunga na DStv, wahi sasa Ofa ya Msimu wa Kombe la Dunia, kwa shilingi 79,000 tu utapata seti ya DStv pamoja na kifurushi cha miezi miwili bure kitakachokupatia burudani ya FIFA Kombe la Dunia 2018 pamoja na kupokea matangazo ya moja kwa moja kwa lugha ya Kiswahili ambapo timu ya watangazaji mahiri wa soka hapa nchini wanaowaletea watanzania burudani hii.

 

Kama Sio DStv POTEZEA!!!

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here