Home Dauda TV Taita kaikimbia FC Kauzu sababu za ki-utu zatajwa

Taita kaikimbia FC Kauzu sababu za ki-utu zatajwa

9091
0
SHARE

Kama unafatilia vizuri mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup  basi utakuwa unafahamu kwamba beki wa pembeni wa Kagera Sugar Geoffrey Taita hajaonekana kwenye kikosi cha FC Kauzu kwenye mashindano ya msimu huu.

Jamaa kwa sasa anakipiga zake Banda FC ambayo imeshinda mechi yake ya kwanza ya Kundi H kwa kuifunga 3-1 Ubungo Terminal.

Mara nyingi wachezaji wa Ndondo huwa wanahama timu moja kwenda nyingine kwa sababu ya dau, lakini hali ni tofauti kwa upande wa Taita.

Taita ameiambia Dauda TV kisa cha kuitosa FC Kauzu ambayo ameitumikia katika misimu miwili mfululizo iliyopita kwenye michuano ya Ndondo Cup.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here