Home Dauda TV Geoof Lea awapa kombe la dunia 2018 Messi, Neymar, England wajipange

Geoof Lea awapa kombe la dunia 2018 Messi, Neymar, England wajipange

8896
0
SHARE

Mchambuzi wa masuala ya michezo Geoff Lea kutoka mjengoni Clouds Media Group ni fan mkubwa wa timu ya taifa ya England maarufu kama The three Lions.

Katika msimu huu wa kombe la dunia Dauda TV imekutana na Geoff maeneo ya Escape One ambalo ni eneo maalum unapoweza kutazama mechi mbalimbali za kombe la duni huku ukipata burudani nyingine pamoja na upepo safi kutoka pwani ya bahari ya Hindi.

Geoff haipi nafasi kubwa England timu anayoishabikia katika fainali hizi za kombe la dunia 2018 na ametoa baadhi ya sababu za kiufundi za kutoipa nafasi timu hiyo licha ya kuwa miongoni m wa mataifa yenye ligi bora duniani.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here