Home Dauda TV Chief wa Kauzu anaamini ubingwa wa kombe la dunia 2018 unakuja Afrika

Chief wa Kauzu anaamini ubingwa wa kombe la dunia 2018 unakuja Afrika

8744
0
SHARE

Ebwana eeeh wale watu wadau wa Ndondo Cup unapozungumzia Chief wa Kauzu si jina ambalo wanaweza kukuuliza mara mbili unamzungumzia nani, sasa Chief wa Kauzu ndiye mdau pekee hada sasa ambaye ameipa nafasi timu ya Afrika kushinda ubingwa wa kombe la duni kati ya wadau wote waliozungumza na Dauda TV.

Chief anaamini Senegal ya Mane itarudi na ubingwa wa World Cup 2018 kutoka Urusi, unaweza kudhani ni masihara lakini njamaa yuko very serious alipoulizwa kuhusu timu anayoipa nafasi ya kushinda ubingwa wa kombe la dunia mwaka huu.

Hebu check video hapa chini kwa click play umuone Chief wa Kauzu na alichozungumza halafu na wewe nidondoshee utabiri wako kuhusu mshindi wa kombe la dunia 2018 kwa kuandika comment yako hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here