Home World Cup Mzee Akilimali, Joti, Msuva na mastaa wengine wataja timu wanazoshabikia katika World...

Mzee Akilimali, Joti, Msuva na mastaa wengine wataja timu wanazoshabikia katika World Cup

9404
1
SHARE
Kuna taarifa zinadai Eden Hazard ataishabiki timu ya taifa ya Misri kwa ajili ya kumpa hamasa zaidi Mo Salah.

Wewe unashabiki timu gani kwani? Na ni timu gani unaamini kuwa itafanya vyema mbali na timu unayoishabikia wewe.

Je ni timu gani unadhani ni kubwa lakini haitafanya vizuri na kwanini? Tupe komenti yako kwenye video hapo chini na kila atakayeandika wazo zuri basi tutaliposti hapa hapa.

Shakira, Spain and Colombia

Shakira ni Mzaliwa wa Colombia Ila kwa maelezo yake amesema ataishabiki pia Hispania kwa sabbabu ya Mume wake Gerard Pique).

Rafael Nadal, Spain

Nadal ni mhispania. Bila shaka ataishabikia timu yake ya taifa. Hata hivyo mjomba yake Miguel amewahi kuichezea timu yake taifa ya Hispania.

mwaka 2010 Nadal alionekana kwenye vyumba vya kuabdilishia nguo akisherehekea ubingwa na timu ya taifa ya Hispania na mwaka huu atakuwa kule Urusi.

Roger Federer, Switzerland

Huyu ni mpinzani mkubwa wa Nadali. Hata hivyo yeye atakuwa ya akina Granit Xhaka kujua watafika wapi.

Roja Federer akicheza mpira na legendari wa soka Gabriel Batistuta

Pope Francis, Argentina
Ni mshabiki kindakindaki wa San Lorenzo hata hivyo aliwahi kuceza kama golikipa., Katika viunga vya Vatican amekutana na timu ya taifa ya Argentine maarufu kama La Albiceleste na mara kadhaa ameonekana na nyota mkubwa wa soka duniani na taifa hilo Lionel Messi aka Messiah katika jiji hilo takatifu.

Prince William, Duke wa Cambridge, England

Hivi majuzi tulisiia kwamba familia ya kifalme haitakwenda Urusi. Nahodha wa zamani wa Eton College, Prince William mara nyingi amekuwa akionekana akicheza mpira katika viunga vya Buckingham Palace. Ni shabiki mkubwa wa klabu ya Aston Villa huku akishikilia cheo cha Urais wa chama cha soka cha England FA.

Amehudhuria michuano ya Kombe la Dunia mara kadhaa na bado haaijawekwa wazi kuhsu mwaka huu lakini huyu ni shabiki namba 2 wa timu ya taifa ukiacha Malkia wa Uingereza.

Will Smith, Germany

Wimbo rasmi wa Kombe la dunia unajukikana kaama Live it Up ambapo Pia Will Smit ameshirikishwa. Smith licha ya kwamba atatumbuiza michuano hii katika sherehe za ufunuzi yeye amesema kwamba roho yake ipo Ujerumani.


Will Simith akiwa na Mwanae Jaden Smith

Rihanna, Brazil
Juzi juzi alionekana amevalia kivazi kimachofananisshwa na muonekano wa Papa. Watu wengi walikerekwa sana na kitendo hicho. Mwanamuziki huyu anajulikana Bad Girl Ri Ri mwaka 2014 FIFA World Cup Brazilâ„¢ kule Brazil pia alikuwa mchambuzi wa michuano ile licha ya kwamba hakuwa akifanya kazi rasmi.

Aliweka picha katika ukurrusa wake wa Twitter ikimuonesha amejipaka rangi ya bendera ya taifa la brazil usoni. Kioja ni kwamba alionekana amevaa jezi ya Ujerumani. Mwaka huu ameonekana tena na Pele na bila shaka atakuwa upande huo.

David Beckham, England and adidas

Huyu ni muingereza sawa. Lakini pia ni balozi wa Adidas. Timu yoyote itakayovaa jezi za Adidas inamkosha. Mambo ya biashara hayo. Lakini amesema hiyo timu iwe yoyote tu hata kama inacheza na England ila tu isiwe UJERUMANI. Yeye amesema hama mpango na Wajerumani kabisa.

Mwaka 2014 aliwavalisha watoto wake jezi ya Argentine ambapo watoto wake hao ni wapenzi wakubwa wa Lionel Messi la Pulga.

Dauda Tv Kitaa On Fire.

tuambie upo kitaa gani tutafika hapo tuongee na wewe kuhusu kombe la dunia una mtazamo gani.

Ifuatayo ni video ya baadhi ya mastaa na watu maarufu kuhusu timu wanazoshabiki. Humo ndani yupo Nick wa Pili, Msuva, Ngassa, Rais Karia na wengineo wengii. Usisahau Kusubscribe Chanel yetu na kuacha bonge la komenti nasi tutapita nayo.

Comments

comments

1 COMMENT

  1. Hakuna Jinsi ,Timu zote zilizokwenda Russia zipo vizuri na ndiyo maana zipo Russia, Hila Mimi nipo Upande wa Ureno na Ubeligiji Nawafagilia sana Mastaa wangu Eden Hazard pamoja naye Cristiano Ronaldo.

Leave a Reply to Dennis Njuu Cancel reply

Please enter your comment!
Please enter your name here