Home Kitaifa Msikie John Bocco baada ya kushinda mbili Mo Simba Awards

Msikie John Bocco baada ya kushinda mbili Mo Simba Awards

8918
0
SHARE

Tuzo za Mo Simba Awards 2018 zilitolewa usiku wa June 11, 2018. Tuzo hizo ambazo zimeandaliwa na mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji maalum kwa ajili ya waliofanikisha mafanikio ya timu hiyo msimu huu na kuongeza chachu ya mafanikio kwa msimu ujao.

Nahodha wa timu hiyo John Bocco aliondoka na tuzo ya goli bora la msimu kwa upande wa Simba sambamba na mchezaji bora wa msimu.

Bocco amesema tuzo hizo zinaongeza hamasa kwa wachezaji hivyo zina tija kubwa kuelekea msimu ujao wa kimashindano kwa upande wa imu yao.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here