Home World Cup Mataifa matatu kuandaa kombe la dunia mwaka 2026

Mataifa matatu kuandaa kombe la dunia mwaka 2026

9043
0
SHARE

kikao cha mwisho cha FIFA kilifantika jumatano hii na kufanya maamuzi ya mwisho juu ya ni yupi atakayeandaa kombe la dunia mwaka 2026. Timu zikazoandaa ni tatu nazo ni Canada, Mexico na United States’ zabuni hii ilijulikana kama ‘United bid’ na kuipiku zabuni ya Morocco ambayo walio wengi waliipa kipaumbele zaidi.

ikumbukwe mwanzoni mwa mwaka huu Morocco walilalamikia kuwa Giann Infantino anataka kuwahujumu. Morocco walilalamika sana kuwa Infantino anawapigia chapuo. Zabuni hii ya umoja ilishinda kwa kura asilimia 67 na Morocco walipata asilimia 33 ya kura zote. Mara ya mwisho Marekani kuandaa kombe hili la dunia ilikuwa mwaka 1994 huku Mexico waliandaa kombe hilo mwaka 1970 na 1986. Canada hawajawahi kuandaa kombe hilo kabisa. Canada waliandaa kombe la dunia la wanawake mwaka 2015.

Kombr la dunia lijalo litafanyika nchini Qatar mwaka 2022.

Wadau wengi wa soka wamedai kuwa kura nyingi zimeenda kwa zabuni ya umoja ya amerika kaskkazini kutokana na uwezo wa kiuchumi na fursa mbalimbali za kibiashara ukilinganisha na taifa la Morocco kwa sasa.

Marekani walipata kura 134 huku Morocco wakiibuka na kura 65 katika hafla iliyofanyika kule jijini Moscow.

Swala la Msingi lililoibuka ni je Timu ipi itapewa nafasi ya kuingia bure katika michuano hii katika hatua ya makundi. Weka akilini kwamba anayeandaa kombe la dunia huwa anapata tiketi ya free.

NCHINI ZILIZOKWISHAA ANDAA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA HAPO AWALI

1930 – Uruguay

1934 – Italy

1938 – France

1942 – Vita ya pili ya Dunia WWII

1946 – Vita ya pili ya Dunia WWII

1950 – Brazil

1954 – Switzerland

1958 – Sweden

1962 – Chile

1966 – England

1970 – Mexico

1974 – West Germany

1978 – Argentina

1982 – Spain

1986 – Mexico

1990 – Italy

1994 – United States

1998 – France

2002 – South Korea/Japan

2006 – Germany

2010 – South Africa

2014 – Brazil

2018 – Russia

2022 – Qatar

2026 – Canada/ Mexico/ United States

Mexico ndio timu pekee inayoaandaa kombe hili ambao wapo Urusi kwenye fainali za mwaka huu. Canada hawajui chochote kuhusu kombe la dunia.

Marekani huenda wakaanda michezo 60 kati yathe 80 ambapo watacheza timu 16 huku Canada na Mexico wakianda michezo ya timu kumi kila mmoja ili zitimie timu 36.

Raisi wa shirikissho la soka Marekani bwana Carlos Cordiero, amewashukuru sana FIFA kwa kuwaamini na kuwa nafasi hiyo.

‘soka sasa ndio kila kitu, sisi kwa umoja wetu tunaishukuru sana FIFA kwa kuweka Iani kwetu. Viwanja vyote 23 vipo poa na vimekwisha andaliwa vyema

Raissi wa shirkisho la soka Mexico Decio de Maria, alishukuru
‘Tutatumia fursa hii kuiunganisha dunia pamoja.

Bajeti kubwa Marekano wapo tayari kutenga zaidi ya dola bilioni 14billion sawa na (£10.5bn) na kuhakikisha kukamlishwa kwa viwanja takribani 16

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here