Home Dauda TV Huyo Chief wa Kauzu usipime kabisa

Huyo Chief wa Kauzu usipime kabisa

8255
0
SHARE

Ebwana mambo ya ‘Chief wa Kauzu’ usipime kabisa, unaambiwa baadhi ya barabara na mitaa ya Tandika ilifungwa kwa muda ili kupisha msafara wake upite kwenda uwanja wa Bandari ambapo timu yake ilikuwa ikicheza dhidi ya Temeke Kombaini.

Vazi alilopigilia Chief lilikuwa jipya kabisa, hajawahi kulivaa kabla wala hakuna mtu aliyewahi kuonekana kwa style hiyo tangu kuanza kwa mashindano ya Ndondo Cup.

Kauzu ikashinda 4-2 na baada ya game Dauda Tv ikafanya mahojiano na Chief kuhusu mipango yake kwenye msimu huu wa Ndondo na mambo mengine kibao.

Bonyeza play kuangalia mpango mzima Chief alivyofunga barabara wakati wa kuingia uwanjani na mahojiano yake na Dauda Tv baada ya mchezo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here