Home Dauda TV Waziri Kigwangala anaiona Simba mpya

Waziri Kigwangala anaiona Simba mpya

9610
0
SHARE

Waziri wa Maliasiki na Utalii Hamisi Kigwangala akiwa kwenye utoaji wa tuzo za mwaka kwa wachezaji ‘Mo Simba Awards 2018 amesema anaiona Simba mpya.

Kigwangala amepongeza tuzo hizo ambazo zimetolewa kwa wachezaji walioshinda katika vipengele mbalimbali.

Amesema kutokana na mumo mpyabwa uendeshaji anaamini matatizo madogomadogo ya kiuchumi, utawala na ufundi yatapungua hivyo timu itaendelea kufanya vizuri.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here