Home Dauda TV Rais wa Simba, Manara wavurugana kuhusu kocha

Rais wa Simba, Manara wavurugana kuhusu kocha

14706
0
SHARE

Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah maarufu kama ‘Try again’ amepishana na ofisa habari wake kuhusu suala la kocha mkuu wa klabu hiyo Pierre Lichantre kama bado yupo au anaondoka.

Baada ya Lechantre kutoa kauli ambayo inaashiria hana maisha marefu Simba, ofisa habari Haji Manara amesema haoni nafasi ya kocha huyo kubaki kuendelea kuifundisha Simb.
Kwa upande wa Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah amesema kocha bado yupo ndio maana alikuwepo kwenye tuzo: “Kocha yupo ndio maana yupo hadi kwenye tuzo, ataondoka kwenda likizo baada ya mashindano kumalizika

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here