Home Dauda TV Manara kavujisha siri ya Lechantre Simba

Manara kavujisha siri ya Lechantre Simba

12593
0
SHARE

Tetesi zilianza tangu Simba ikiwa Kenya kwamba kocha mkuu Pierre Lichantre anaondoka na kuna mechi moja alikaa jukwaani huku benchi la ufundi likiongozwa na kocha msaidizi Masoud Djuma.

Kwenye usiku wa tuzo za Mo Simba Awards 2018, kocha huyo aliwatakia kila la heri wanasimba alipopata fursa ya kuzungumza baada ya benchi lote la ufundi kutangazwa limeshinda tuzo.

Lechantre alizungumza kwa lugha ya kifaransa ambayo ilitafsiriwa na kocha msaidizi Masoud Djuma: “amesema anawatakia kila la heri msimu ujao.”

Kauli hiyo ikaibua minongono, akaulizwa Haji Manara kuhusu hatma ya kocha mkuu ndipo Manara akasema: “sioni chance ya yeye kuendelea kuwa na Simba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here