Home Kitaifa Bocco kawapiga bao Okwi, Kichuya Mo Simba Awards 2018

Bocco kawapiga bao Okwi, Kichuya Mo Simba Awards 2018

10541
0
SHARE

Mshambuliaji John Bocco amewapiga bao wachezaji wenzake wa Simba Shiza Kichuya na Emanuel Bocco baada ya kuwashinda katika tuzo ya mchezaji bora wa Simba 2017/18.

Wachezaji hao watatu walikuwa katika kipengele kimoja cha kushindania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa upande wa Simba tuzo ambayo imebebwa na Bocco.

Bocco ameshinda tuzo mbili usiku huo ikiwa ni pamoja na ya goli bora la msimu.

Hii hapa ni orodha nzima ya washindi wa tuzo za Mo Simba Awards 2018 katika vipengele sita tofauti

1. GOLIKIPA BORA WA MWAKA
A. Aishi Manula – WINNER
B. Said Mohamed ‘Nduda’
C. Emmanuel Elias Mseja

2. BEKI BORA WA MWAKA
A. Yusuph Mlipili
B. Erasto Nyoni – WINNER
C. Shomari Kapombe

3. KIUNGO BORA WA MWAKA
A. Jonas Mkude
B. James Kotei
C. Shiza Kichuya – WINNER

4. MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKA
A. Emmanuel Okwi – WINNER
B. John Bocco
C. Shiza Kichuya

5. MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKA
A. Rukhia Salum
B. Zainabu Rashidi Pazzi – WINNER
C. Dotto Makunja

6. MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKA
A. Ally Salim (GK)
B. Rashid Juma – WINNER
C. Salumu Shabani

7. GOLI BORA LA MWAKA
John Bocco (Simba VS Mwadui)

8. TUZO YA BENCHI LA UFUNDI
A. Pierre Lechantre – Kocha Mkuu
B. Masoud Djuma – Kocha Msaidizi
C. Mohamed Aymen – Kocha wa Viungo
D. Muharam Mohamed – Kipa wa Makipa
E. Richard Robert – Meneja wa Timu
F. Yassin Gembe – Daktari wa Timu
G. Abbas Selemani – Mratibu

9. SHABIKI BORA WA MWAKA
Fihi Salehe Kambi

10. MHAMASISHAJI BORA WA MWAKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
A. Hamis Mwinjuma (Mwana FA) – WINNER
B. Salama Jabir – WINNER
C. Zitto Kabwe
D. Vyonne Cherrie (Monalisa)
E. Omary Nyembo (Ommy Dimpoz)

11. MHAMASISHAJI BORA
Haji Manara

12. TAWI BORA LA MWAKA
A. Wazo Hill
B. Ubungo Terminal – WINNER
C. Vuvuzela

13. KIONGOZI BORA WA MWAKA
Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah Muhene

14. TUZO YA WASIMAMIZI WA MCHAKATO WA MABADILIKO
A. Jaji Mstaafu Thomasi Mihayo
B. Wakili Damasi Ndumbaro
C. Abdulrazak Badru
D. Mussa Hassan Zungu
E. Yusuph Nassoro
F. Brenda Mrema
G. Mzee Hamis Boma
H. Revocatus Cosmas Sangu
I. Hashim Nyendage
J. Gervas Alpha Honest
K. Emmanuel Metusela Urembo
L. Mulamu Nghambi
M. Selemani Omari
N. Aziz Kifile
O. Salim Abdallah Muhene
P. Arnold Kashembe
Q. Omari Bakari Mtika
R. Evodius Mtawala

15. TUZO YA HESHIMA (LIFETIME ACHIEVEMENT)
Selemani Matola – WINNER

16. MCHEZAJI BORA WA MWAKA
A. Emmanuel Okwi
B. John Bocco – WINNER
C. Shiza Kichuya

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here